@Thommunkondya Kaka nikushauri kitu achana na mabishano haya huku mtandaoni kama una future huko mbeleni
Wengi wape ukweli wako baki nao moyoni huenda kuna muda utafika watu wataelewa ni nini hasa una maanisha
Acheni kuumizwa na matendo ya Spika Job Ndugai , Mungu anatarajia kutenda muujiza hivi karibuni kwake ,asiwachoshe kabisa ,kwani imeandikwa...Mithali 16:5 MUNGU huwachukia sana wote wenye kiburi cha moyo. Uwe na hakika kwa hili: Hawataepuka kuadhibiwa.