@sindai_mabula@moodewji@Surhomme_01 Bro, bora hizi cheusi mangala zetu unazikuta na msela mmoja, hizo pisi nyeupe zinakuwa na kakikumdi cha vijana hadi wababa, na ole wako ukute hauna hela ya kutosha
#TajiriLaKihaya
Ufaham kwamba JAMBAZI wakitaka kukuvamia NYUMBANI kwako - watakuvamia tu… wakihitaji Milion zao watakuja tu kuzifata!
Ila Tukijenga Nyumba , tunaweka milango, tunaweka Geti kubwa kwenye fence,Tunazungusha Ukuta… ikibidi tunaajiri na Masai kabisaaa hata kama Hana silaha…
Ni kweli Mungu Anatulinda ila hatumuachii bila kufanya chochote-
Vivyo hivyo Kwa wake zetu-
Ni kweli kwamba mwanamke kama ni kahaba au Hakuheshimu na Akiamua kucheat kwenye ndoa atacheat tu!
Ila Tunamtengenezea mazingira ya kumlinda na kumuepusha na vishawishi vya nje-
Kwanza kabisaa ni kabla Haujao- unachagua Mke atakae Kua Mama Bora kwa watoto wako na Mlezi wa familia- awe BIKRA, ukishindwa basi Asiwe SINGLE MOTHER, na atoke kwenye familia nzuri- awe kalelewa na maadili mazuri- ikiwezekana na wazazi wake wawili Haswa BABA.
Pili,Hakikisha anakua House wife- hata kama ni msomi- kazini kuna vishawishi vingi saana- unam Expose mke wako na threats nyingi saana kule kazini…
Mke kazi yake kuu ni KUZAA KWA UCHUNGU na kulea familia… Mwanaume KATAFUTE RIZKI KWA JASHO…
Mwanaume ukishakubali kwenda kinyume na maandiko na kufata Mila za kizungu za 50-50 tayari Ushapotea na Ndoa imeshakushinda!
Wanaume tuyakubali majukumu na tuwalinde wake zetu kwa wivu mkubwa mno!
Tujitafakari kwa msaada wa SOCRATES wa Tanzania kwa kumsoma na kumsikiliza.
ANAANDIKA ASKOFU BAGONZA
NADHANI TUNAJICHANGANYA?! Au ni Mimi Najichanganya?!
1. SAFARI YA VATICAN
Tungepatana nyumbani kwanza na wawakilishi wa Papa kabla ya kwenda kwa Papa. Tumempiga Padre wake; Tumetengeneza Wakatoliki Vijora; Tunamdhalilisha Kitima, halafu tunaenda kwa Papa. Hatari ipo ya kuambiwa, “Kama hamkumsikiliza Musa na Manabii, hamtaweza kushawishika hata mtu akifufuka”(Luka 16:31). Patana na mshtaki wako kabla ya kwenda kwa Kadhi.
2. MABEBERU:
Tumezoea kuzizodoa nchi za Ulaya kuwa ni mabeberu. Vatican iko Ulaya. Je, Hata Papa ni Beberu? Naye anataka kuchimba Uranium yetu?
3. AMANI YA NCHI
Wizara ya Mambo ya Nje inamuomba Papa aiombee nchi yetu iwe na Amani na Utulivu. Wizara ya Mambo ya Ndani inasema nchi iko salama imetulia. Hawawasiliani? Nani msemaji wa nchi?
4.MARIDHIANO
Wazee wa Chama wanataka Maridhiano. Bunge linasema nchi iko sawa. Tume iko kazini kuchunguza. Nani mkweli? Je kuna ukweli tusioujua hadi tuumulike kwa tochi ya Tume? Je tunataka maridhiano kabla ya ukweli?
5. CHADEMA na CCM
Wapo wanaosema Chadema Imekufa lakini wanaisema kila siku. Huyu ni marehemu mwenye nguvu. Makada wa CCM wanasema CCM tunatamba nayo. Ukiiangalia unaiona ni mfungwa asiye na pingu. Nani zaidi kati ya marehemu anayeishi na aliye hai lakini amekufa?
6. YALIYOTOKEA OKTOBA 29
Siku hii inatusumbua mpaka tunaenda Vatican. Bado kwenda Mecca. Kama waliokufa hawajulikani; waliowaua wanajijua. Dunia inajua makundi yote mawili. Hekima ya WAJALUO inasema, “kuchelewa kwenda kujisaidia, hakuzuii njaa kuuma”. Tukubali: Tuliua, Walikufa; tuombe radhi, tuwajibishane na kusonga mbele.
7. TUNDU LISU
Waliompiga risasi hawajapatikana lakini walioiba michango yake wamekamatwa. Yeye yuko rumande. Mahakama imeenda likizo na haki yake iko likizo. Fikiria daktari akienda kupumzika katikati ya operesheni mgonjwa?!
8. WIZARA YA MAMBO YA NJE
Hii Wizara inaonyesha tuko vitani. Kimsingi ina mawaziri 4: Kombo, Kabudi, Nyalandu na JK. Msiniulize JK ni nani maana mtamuona anatumwa katika masuala magumu nje. Waliobaki 3 na manaibu 2, wanaunda kikosi kazi cha mawaziri wa wizara. Msiniulize nani ni Boss maana Kabudi anaweza kujikuta ni Naibu Waziri. TUNAJIKANYAGA MNO.
9. Taifa likiwa katika mtifuano kama tulio nao, linakuwa kama mgonjwa. Hawezi kwenda kwa daktari akagoma kuvua nguo. Tuvue zote na madaktari watuingizie vidole kila mahali ili kubaini ugonjwa ulipo ndipo tutibiwe.
Wajaluo wakibanwa TEZI DUME husingizia wanaumwa kichwa.
Sasa Wajaluo wa TEZI JIKE hao usiseme!
Dear Government! Hayupo anaeweza kushindana na nyinyi kwa lolote.
Mnaweza kila kitu isipokuwa kubadili NYAKATI! Kwa sasa tupo nyakati za Akili-Akili sio Jino-Jino
Najua mnajua kuwa kuna Wajinga wengi mtaani sababu hamjawaelimisha, Bad news!! Watu sasa wanaelimika bila kukaa darasani.
EXCLUSIVE: Our CNN investigation found that Tanzanian police killed protesters, and signs of mass graves used to hide their brutality.
We spoke to more than 100 people, used forensic analysis of videos, and satellite imagery. The govt didn't respond to our detailed questions
Jamani kuna mtu alikuwa na mashaka na @ChademaTZ2 hii ya sasa?
Sasa ondoeni shaka 💪🏽 ni wazalendo kweli
Mungu awabariki na kuwalinda viongozi wote maana mnapitia mengi ila mko bado imara 🙏🏽🇹🇿
Tutashinda ✊🏽
Wiki nzima tangu niachiwe na polisi, nimekua nikidai Paspoti yangu ili nisafiri kwaajili ya kupata matibabu bila mafanikio.
Hakuna sababu yoyote ya vyombo vya dola kuendelea kushikilia paspoti yangu.
Nafanyiwa haya kwasababu ya msimamo wangu wa kisiasa, nimeona ni muhimu niwajulishe Watanzania na dunia kuhusu huu unyama wa kujaribu kuninyima haki ya kupata matibabu.
Ukipata muda jifunze mambo haya (10) ambayo hayasemwi mara kwa mara.
Lakini yanabeba heshima yako kama mwanaume.
1. Usimfanyie rafiki yako utani mbaya mbele ya watoto wake.
Watoto hawajui utani. Watachukua maneno yako kama ukweli juu ya baba yao.
THE EVOLUTION OF A MAN IN LOVE
Age 20 – Lust
Age 21 – Infatuation
Age 22 – Heartbreak
Age 23 – Confusion
Age 24 – Awakening
Age 25 – Standards
Age 26 – Boundaries
Age 27 – Detachment
Age 28 – Clarity
Age 29 – Maturity
Age 30 – Selectivity
Age 31 – Stability
Age 32 – Understanding
Age 33 – Depth
Age 34 – Loyalty
Age 35 – Leadership
Age 36 – Balance
Age 37 – Protection
Age 38 – Legacy
Age 39 – Wisdom
Age 40 – Peace
Hizi code ni muhimu sana kuzijua wewe Mwanamtandao 😎👇
Karibu ujiunge nasi TECH HUB kwa link hii https://t.co/v7T1c4bwAN
🌐💠 CALL FORWARD (Simu kuelekezwa kwa namba nyingine) 💠🌐
📞 All Calls: **21*NUMBER# ➤ Simu zote ziende kwa hiyo namba
📞 When Busy: **67*NUMBER# ➤ Ukiwa kwenye simu nyingine calls zitaenda Kwenye hyo namba
📞 No Answer: **61*NUMBER# ➤ Usipopokea, calls zitapelekwa Kwenye hiyo namba
📞 Not Reachable: **62*NUMBER# ➤ Simu ikiwa imezimwa au mtandao jau
❌ Futa zote: ##002#
🔐💫 CALL BARRING (Kuzuia Simu/SMS) 💫🔐
🚫 Zuia simu kutoka (Outgoing): *33*0000#
🚫 Zuia simu kuingia (Incoming): *35*0000#
📩 Zuia SMS kutoka: *16*0000#
📩 Zuia SMS kuingia: *17*0000#
❌Ondoa barring zote: #33*0000#
🔑 PIN default ni 0000 (unaweza ibadilisha kwa usalama zaidi)
🛰️✨ CALL WAITING (Kusubiri Simu nyingine ukiwa kwenye Call) ✨🛰️
✅ Washa: *43#
Ukiwa Kwenye call haitosema kama unatumika
❌ Zima: #43#
📞 Ukipokea simu mpya, wa kwanza atakuwa umemsubirisha
🚫🔎 CALLER ID (Kuficha namba yako) 🔎🚫
📞 Piga bila kuonekana: #31#NUMBER
👉 Mfano: #31#0754000000
Inafaa sana kama mtu unamdai afu unampigia haokoti 😁
📡💥 NETWORK RESET (Kurudisha settings zote) 💥📡
🔄 Code: ##004# ➤ Inafuta forwarding, waiting & barring zote kwa pamoja
💡⚡ BONUS TIP ⚡💡
Unataka simu yako ionekane haipatikani bila kuzima?
➡️ Fanya forward kwenye namba ambayo haipo (mfano *62*000#)
😂 Mtu akipiga atasikia “Namba unayopiga haipatikani kwa sasa...”
👑 Mtoto wa kwanza wa kambo wa Clemence Mwandambo nimemalizaa🥹
@EsirEid Nimeacha kuendesha bodaboda nimepaki kabisa pembeni na nimeagiza popcorn kisado hapa Makumbusho stendi kusubiria hii vita tajiri... NAOMBA ASILALE KABISA LEO APIGWE TUUU
@k_mjege@MarekaMalili Kila msimu mnasemaga hivi, tunafikaga robo nyie mnaishia makundi mwisho mnakosa cha kusema... So huku kimataifa kila mtu acheze za kwake