Siku nzima ya leo magari mawili ya polisi na polisi wakiwa wameziba nyuso zao na silaha kubwa kubwa, wamenifuatilia tangu nikiwa Urambo kwa kupokezana mpaka nafika Kigoma.. njiani nimesimama mara mbili kuwauliza shida yao ni nini kwangu hawakuwa na majibu ya maana.
Nimefika hapa Kigoma kila ninakopita na hapa Hotelin kwangu wamejaa maafisa wakiwa na nguo za Kiraia..
Mimi ni Mwanasiasa wa upinzani ninaetimiza wajibu wangu wa kikatiba… Chama chetu ni chama cha siasa ambacho kimesajiliwa na chenye haki zote katika Nchi hii.
Nimepokea taarifa nyingi kwa watu wema wakitaka niwe makini, wengine wanasema mimi na familia yangu tumetolewa maelekezo mabaya.
Nitatimiza wajibu wangu bila uoga wala hofu, hakuna mtu anaweza kuniondoa kwenye haki na wajibu wa kutetea Nchi yangu na watu wetu.
Ninawashauri watawala dhalimu kuacha kucheza na utulivu huu uliopo . Hofu haijawahi kuzaa amani, hofu huzaa hofu zaidi.
Hakuna siku nitakimbia Nchi yangu.
ARSENAL Vs PSG ( FINAL UCL )
Listen wote wana strength na weakness zao ni ishu ya nani anaweza kupata uwiano mzuri . Muktadha hapa wa mechi yao ni jinsi gani kila mmoja nguvu na udhaifu wake unaweza ku impact mechi ( Results ? SIJUI 😀)
ARSENAL
✍🏻Kwa jinsi walivyo PSG kuhusu vimo na matumuzi ya nguvu, Arsenal wataona moja ya njia bora ni matumizi ya mipira iliyokufa : Kona , throw ins , na hata long balls ku bypass pressing ya PSG ( kama watafanya ) long balls na kushinda second balls katika final third .
✍🏻Moja ya kitu ambacho huwa sioni sana kwa Arsenal chini ya Arteta ni kupenda kucheza kupitia ndani dhidi ya mpinzani ( Verticality ) mara nyingi wanapenda kucheza nje ya defensive block ya mpinzani ( Playing around instead of through a block ) kwa wingers na fullbacks wake ( tanua defensive block ili ku access ndani ya defensive block - Finding Eze / Odegaard )
✍🏻NOW, inategemea na wachezaji watakao anza kwa Finali : " Players are tactics " kama Arteta ataona kuna haja ya kuwa na walinzi wa kuzuia wingers wa PSG basi maana yake atapunguza nyuma " Build up specialist " maana yake uwepo wa Hincapie , Big Gaby , upande wa kulia sina hakika kama Timber atawahi ( ambaye naamini kwa ubora wake wote kwenye build up anakuwa slow kuiona pasi ya mbele haraka na kuwapa wapinzani ku organize vizuri tofauti na Ben Blanco ) maana yake italazimu kwa Arteta kuchagua zaidi long balls badala ya ku risk turn overs dhidi ya pressing ya PSG . Kama ni White - Saliba - Gaby - Calafiori hapo Arsenal wana 4 out 5 build up specialists ( jumlisha Raya ) maana yake inawapa nafasi ya build up chini ( Calafiori manipulate a ball and carry , White long clipped balls nyuma ya opposition FB kwenda kwa Saka .
✍🏻Kama una wapress Arsenal relentlessly bila build up specialits wao wana struggle sana.
✍🏻Out of possession: Arsenal normally wanachagua muda wa ku press huwa hawana " gung-ho pressing" muda wote tu nah .! Njia yao bora kuzuia huwa inakuwa pale wanapo drop kwenye defensive block na wanazuia zonally badala ya man to man ( dhidi ya PSG sidhani kama Man to man ni suitable wana technical players uwanja mzima na wanao rotate labda kasoro CBs wao the rest wana rotate sana na technicians, zonally ni better move as a unit side to side , compact .
PSG
✍🏻Urejeo wa Fabian Ruiz na form ya Zaire Emery jumlisha Joao na Vitinha wana kiungo ambacho kipo comfortable kwa mazingira yoyote : Out possession : Neves na Fabian wapo vizuri , In possession wote , press them wanafanya maisha yako kuwa magumu , rotations na movements zao haraka sana wana pop up mpira kwa attackers wao in a blink of an eye .
✍🏻Ukiacha kipa , Marquinhos na Pacho wachezaji wote wa PSG wanaruhusiwa ku move around , finding spaces , drag opponents maeneo hawapo comfortable ili kupata spaces kila sehemu , finding a spare man , overloads upande mmoja then switch play upande mwingine " create 1v1 "
✍🏻Unaweza kuangalia vimo vyao lakini wapo athletic sana uwanjani , naamini ina complement vizuri technical level yao : Technicality + Athleticism = Unbearable .
✍🏻Niliwahi kusema na narudia : Dribblers Supersede tactics . Ukiwa na dribblers wengi wanakupa solutions katika muda tactics zimegoma / mpinzani well drilled add late runs kutoka kwa kiungo : Fabian + Neves na wide areas " Hakimi " from deep . Lazima uwe ume switch on muda wote , any lapse of concentration you pay a big price .
✍🏻Bila mpira jana PSG wameonesha upande mwingine wanaweza kuwa chini zaidi ya uwanja kudefend kwa numbers na kutumia counter attacks ( wana kasi up top ) but nafikiri hawakuwa tested sana na mipira ya juu ndani ya penati box ( kuona BOX DEFENDING ) yao . Wanaweza ? I dont know mpaka nione wawe tested .
KEY NOTES
1: Arteta ata apply tena 1+ defending kama mara ya mwisho walivyokutana au atataka Saliba + Big Gaby kuwafuata all the way attackers wa PSG ( central attackers ) waki drop deep ? Muhimu sana hii kuwa decisive no grey areas
2: Lucho bado atataka Marquinhos kufanya wide defending dhidi ya opposition winger ? While Hakimi akianzia kukabia juu ? Risky but huwa inalipa pakubwa ikifanikiwa
3: Kama PSG waki press high kama Pep alivyofanya , Arsenal watakuwa wamejifunza na kuwa na ujasili wa kucheza through the press ? Kama una Kai / Victor just go long and win second balls
4: Kitu kimoja ni CONSTANT kwa timu zote mbili ni " HORRIBLE teams kukabiliana nazo wakiwa na uongozi wa goli "
✍🏻Arsenal defend kwa maisha yao yote hard to break them down wakiwa na uongozi
✍🏻PSG wanakusubiri kwa transitions ukiwa ume open up unataka kusawazisha . Lethal
BUT : Kwa context ya Arsenal pia ni muhimu itategemea ubingwa wa EPL wataamua lini kama ni mapema ili wachezaji wapumzike au wateleza hapa kati waufanye mpaka mechi ya mwisho ya EPL : FRESHNESS ni muhimu sana.
MAY THE BEST TEAM WIN 2026 UCL 🏆
🚨 ONYO
Kutokana na Post hii, Naomba Ukipata
Muda Play hii video sikiliza kwa makini
ukiweza Rewind ili uelewe kinachosemwa.
Sikiliza alafu Tanua Akili yako vizuri 🤣
I found a guy who goes around the US asking 70 to 100-year-olds their:
• Biggest Regrets
• Biggest Lessons
• Advice to their younger self
Most of their answers are the same…
Here are my top 9:
“Hatuwezi kukalia kimya mauaji ya utekaji…”-; Mhe. @HecheJohn
Leo akiwa kwenye msiba wa Mama Mzazi wa Sinda Geteba ambae alitekwa miezi kadhaa iliyopita.
Huwezi kuleta Taifa pamoja kwa ujanja ujanja na uongo…
Huwezi kuleta Taifa pamoja kwa kukodi wahuni watukane watu wanaosema ukweli…
Huwezi kuleta Taifa pamoja kwa kuua kila mwenye mawazo tofauti..
Huwezi kuleta Taifa pamoja kwa kujaza watu hofu ya kutekwa au kumbambikiziwa kesi…
Mnajenga balaa na tufani ambayo hamatakuwa na uwezo wa kuidhibiti.