WAKAZI WA VIJIJI VIWILI WALIOANGAMIZANA KWA SBB YA TONE LA ASALI.
Mtu mmoja alikuwa na tabia ya kuwinda wanyamamwitu jangwani. Siku moja mlimani aliona pango lililojaa asali tele.alijaza ile asali katika mfuko wa ngozi aliokuwa nao,akaubeba mgongoni,akaelekea nao jijini,nyuma.
@Eric__Bernard Mr ben nadhan anaelewa hii video inachochea hata wale ambao walikuwa hawana nia ya kutoka watoke ili waje wamalizane na hawa waliopo katika video. Mikwara kwa zama hizi ni kuchochea hasira kwa wale unaowapiga mikwara.