@HildaNewton21 Kuna chawa toka jana walikua upande wake kupush swala la space yaan kila post iliokua ikizungumzia space walikua wanapush saana space iandaliwe...lakin baada ya space najaribu kupita kila post humu siwaoni kabisa
@johjaxh@MkulimaKante Vijana wengi hawajalitambua hili...laiti kama wangelijua hilo nahisi kusingekua na kusmbukua sana....yaan ulivoviongea hapa vina maliza tatzo loote kwa ujumla na inarudisha hali ulijali kwa mwanaume..mm shuhuda wa hilo ulilosema na nikikua mhanga wa tatzo
@wasuya14@KumbushoDawson Vp unaweza kutusaidia kutueleza msaada wa siasa za kutekana( polepole,mdude,soka) na siasa za mauwaji ya mzee kibao na 29 oktoba??..
@HildaNewton21 Guys guys yaan leo tulikua gaza bucha kuna dada alibebwa kwenye boda katikati ya folen na kulikua na wanajeshi akasema "SIOGOPI KUFA MANA KUFA NIMEZOEA NA TAREHE 9 NITAKUFA TENA" aisee nkasema sasa tumefika patamu