@AManLikeEd@MarekaMalili Ukiwa na hela unapata yeyote unayetaka,na akizingua anaondoka. Ukiwa na haki ya Mungu tu utalia na huyo ambaye unampenda alafu yeye hakuwazi
@Mollel00@jwise017 Tunarudi pale pale, maintenance (accessibility). Toyota popote pale issue inakuwa solved. Na hizo gari kuna nchi zinatumika sana kwahiyo hata accessibility ya vipuri na maintenance ya kutosha
@GIVENALITY@mis_minky Muhimu kuwa navyo kabla ya huo msemo...uzuri hata watumishi wa Mungu wanavyo na wanavipenda. I can say dhambi nyingi mzizi wake ni umasikini