😁😁 kuna chama walikuwa wanakwenda kwenye vijiwe vya pikipiki wanauliza hivi kuna wafuasi wetu hapa wanyooshe mikono waaandika majina kwenye daftari!
Sasa tuhakiki uhai wa hivi vyama maana tunasumbuana sana humu na mambo ya wanachama 7m halafu kuchanga 2.3m TZ jasho linatutoka
Nakumbuka PK alifanya documentary na Morgan Freeman kuitangaza Rwanda watu Twitter wakasema Tanzania tumelala tu, leo Rais wetu anafanya kipindi maalumu kuitangaza nchi yetu duniani watu wale wale wanalalamika. Hatuna jema? #teamTanzania#mamayukokazini