Huko western ukifika 25 years Kama hujawai Leta dem kwa Simba Hua unaletewa auntie yako aconfirm Kama kanyuinyui kako sawa. Mnafungiwa kwa keja Na yeye then morning apeane ripoti.
Inakuanga very traumatizing inabidi uhame ushago ukuje Nairobi kuuza CCTV ukipost story za minerals