BRO TO BRO
Usikate tamaa haijalishi unapitia kipindi kigumu kiasi gani Usiogope kuanza upya kila unapoanguka. Jipe Moyo kwamba na kujiambia maneno haya "hapa ndipo nguvu yangu inapojengwa nitasimama tena"
Weka focus yako mbele, Badilisha mindset yako, Toka kwenye Comfort zone yako. Amini mchakato hata kama unaenda polepole.
Weka tumaini lako kwa MUNGU Hakika utainuka 💪
Eeh Mola wangu, usiku wa leo nalala nikikunyenyekea kukuomba uniepushe na hasira, kiburi, jeuri, majivuno, ulevi, uzinzi na kila lisilokupendeza
Unitakase moyo wangu uniongoze kwenye njia iliyo njema na unifanye niwe miongoni mwa wale wanaokuridhisha daima🙏