Mtu anakwambia Zanzibar kubaya na budget yake ni 1m kwa siku 5😂 seriously hata sisi wa site hio 1m huwa haitutoshi maana everything is expensive, kwanzia hotels, food, transport etc. infact per diem ya Zanzibar na Tz ni tofauti😂😂😂
Hizi siasa za uoga hapana aiseee…..
Hatutofika kwa uoga huu. Maandamano ni haki ya kikatiba sio uhalifu.
Mpaka hapa Chadema mnawa demoralize wananchi, bora hata October 29 mlikaa kimya kuliko this time mnayakataa maandamano.
Hapana hatuwezi kufika kwa uoga huu.
Bila sativa tusingemjua mafwele
Bila mpira tusingemjua ronaldo na messi
Bila mke tusingemjua hawala
Bila yanga tusingemjua simba
Bila Mkristo tusingemjua muslim
Bila tanganyika tusingemjua zanzibar
Bila ccm tusingeijua chadema
Weka bila yako?🤣
Kuna Jamaa Angu Hana mishe za kueleweka Akapata demu MD akamzuga kwamba yeye ni Usalama Akajaa Akamuoa Alimzalisha chapu Watoto wa 2 badae Demu Akagundua jamaa sio Usalama Anaunga unga tu Mshkaji now anateseka kinoma kuna time anafukuzwa hadi skani wanawake ni viumbe hatari sana.