Leo nataka kuzungumza na boys; wadogo zangu wapiganaji kabisa:
1.) Maisha siyo rahisi sana. Mafanikio siyo rahisi kabisa. Yatakujaribu. Yatakukatisha tamaa. Usikubali. Komaa, pambana! Kukata tamaa ni dhambi. Kurudi nyuma ni mkakati kabisa vitani. Wewe siyo mwepesi kiasi hiiicho!
2.) Wewe ulikuwa mgumu sana ndiyo maana Mungu aliamua uwe wa kiume mwanangu. Komaa kiume dogo.
3.) Kumbuka kuwa una dhamana kwa familia yako, dhamana hii ni kubwa zaidi kama hautoki kwenye familia tajiri, maana familia tajiri inatakiwa kutokana na wewe.
4.) Mtu aliyefanikiwa leo, ujue alianguka mara nyingi sana jana na juzi.
5.) Kufanya biashara ni kitu kigumu sana lakini pia kuwa kuajiriwa mpaka umri wa miaka 60 kila siku kuamka kuwahi kazini ni kazi ngumu pia. Chagua chako kimoja.
6.) Kama mkeo hakutii hasira, basi huyo siyo mkeo. Pole sana kaka.
7.) Kuwa na vyanzo vya pesa ni kitu kizuri zaidi kuliko kuwa na chanzo kimoja. Mkeo akiwa na kazi ama biashara ni nafuu kwako ila usimuulize anatumiaje pesa zake, timu za wajibu wako wa kumhudumia, usipigie hesabu pesa yake.
8.) Pesa haitafutwi kwa kulalamika, inatafutwa kwa ubunifu na juhudi. Ukiwa unalalamika sana badala ya kutafuta suluhisho, utaishia kuangalia wenzako wakifanikiwa. Simama, tafuta njia, usikubali kushindwa.
9.) Heshimu muda wako na muda wa wengine. Usipoteze muda kwa starehe zisizo na tija, badala yake utumie muda wako kujifunza, kufanya kazi, na kujenga mustakabali wako.
10.) Marafiki zako ni taswira ya maisha yako ya baadaye. Ukiwa na marafiki wavivu, wasio na maono, na wanaopenda majungu, basi ujue upo kwenye njia mbaya. Tafuta marafiki wanaokutia moyo, wanaokufundisha, na wanaokuinua.
11.) Jifunze kusema ‘hapana’. Usikubali kila jambo, kila ombi, na kila fursa kama haina maslahi kwako. Usihadaike na ‘muda wote uko available’. Jua thamani yako.
12.) Afya ni utajiri. Unaweza kuwa na pesa nyingi lakini bila afya njema, utajiri wako hauna maana. Fanya mazoezi, kula vizuri, na epuka anasa zinazoathiri afya yako.
13.) Siku zote jifunze kitu kipya. Usiwahi kufikiri unajua kila kitu. Dunia inabadilika, biashara zinabadilika, fursa zinabadilika. Mwanaume anayejifunza kila siku ndiye anayeendelea kushinda.
14.) Usiishi kwa kushindana na watu, ishi kwa kushindana na jana yako. Kama leo unafanya vizuri zaidi ya jana, basi unashinda. Weka malengo yako binafsi, usipoteze muda kujilinganisha na wengine.
15.) Jifunze kuvumilia na kustahimili maumivu ya mafanikio. Hakuna aliyefanikiwa bila kupitia mateso, misukosuko, na changamoto. Ukikataa tabu za kujenga, utapitia tabu za maisha kwa kukosa. Chagua tabu zako!
#HK #Fighter #NjeYaBox
Want to know the top ten latest turnaround wins in Premier League history? Look no further than this thread, starting with... ⌛️
1⃣: @ChelseaFC 4-3 Man Utd
Attention Aspiring Data Analysts!
Want to become a Data Analyst in just 3 months?
I’ve crafted a detailed 3-month roadmap to help you master the essential skills and land your dream job!
Get access to:
•In-depth study materials
•Free tools & resources
•Exclusive tips to fast-track your learning
To get it:
1. Follow me so I can DM you
2. Like & Retweet this post
3. Comment "Data Analyst" below
Let's make your Data Analytics dream a reality! 🚀
#DataAnalyst
Whay i like about virgo ni wako very organized. Kwenda na muda na kufanya vitu katika ratiba maalumu waliyojiwekea. Napenda jinsi wengi wao walivyokuwa na ufahamu mkubwa wa mambo kulingana na kuwa wafatiliaji wazuri sana.
Wanatakiwa kupunguza kuwa selective kwenye almost kila kitu.
Ndugu waajiri:
___________
Mnapotafuta mfanyakazi wa ICT na mnataka awe na uzoefu katika
Networking, Programming,Cyber Security, Hardware, Cloud, IoT, Graphics
Hapo hamtafuti mtu mmoja bali ni idara nzima ya ICT, mtu mmoja hawezi kujua kila kitu kwa ufasaha
Happy new Month 📍
Unakuta mtu ako na mtaji wa 10m anataka umshauri kuingia kwenye biashara fulani.
Ushauri wangu.
Anzia kwenye uwinga, anzia kwenye kua mtu wa dukani, anzia kwenye kujitolea kufanya kazi sehemu fulani, yaani start somewhere ambapo utajifunza hicho unachokitaka huku ukiwa observer.
Nawapa mfano wa kabila la wakinga, mkinga anafungua duka la nguo, anapiga biashara na kuimasta vizuri alafu anamchukua mdogo wake kutoka kijijini…
Nilikutana nao first time 2014 arusha airport yule jamaa akanipa lifti mpaka Majengo alikua ana ongea vtu vingi sana hafi nikamuamini basi akanipa contact zake nikaanza wasiliana nae akaniambia jmosi jiende ofisini kuna kazi ya hela nzr na ntakua na maisha mazuri sana.
Kwanini kampuni nyingi za kutoa mikopo online ni zawachina.? kuna usalama wa data zetu.?
Leo nimepokea sms kutoka kampuni X inadai kuwa kuna mtu kakopa pesa kwenye kampuni yao hivo wana wajulisha watu wote waliopo kwenye phone book , nikawa natamani kujua nini kinaendelea.
Ndugu waajiri:
___________
Mnapotafuta mfanyakazi wa ICT na mnataka awe na uzoefu katika
Networking, Programming,Cyber Security, Hardware, Cloud, IoT, Graphics
Hapo hamtafuti mtu mmoja bali ni idara nzima ya ICT, mtu mmoja hawezi kujua kila kitu kwa ufasaha
Happy new Month 📍