Miundombinu yetu,
Treni yetu,
Fahari yetu.
Leo nimesafiri kwa treni ya SGR toka Dar es Salaam kwenda Dodoma. Hakika Watanzania tunayo kila sababu ya kujivunia hatua kubwa tunazoendelea kupiga kama Taifa.
Nikiwa Dodoma pamoja na kazi nyingine, nitaboresha taarifa zangu katika Daftari la Kudumu la Mpigakura katika Ofisi ya Kijiji, Chamwino. Ninawasihi wananchi wenzangu tuendelee kujitokeza kwa wingi kujiandikisha na kuboresha taarifa zetu, ili tutumie haki yetu ya kikatiba ya kushiriki Uchaguzi Mkuu, Oktoba mwaka huu.
CHADEMA imepoteza mwelekeo au wewe ndio umepoteza mvuto. Kama ulishindwa kuwa mbunge wakati wa Lowassa 2015 Mwanga, wakati majimbo 7 kati ya 9 ya Kilimanjaro yakienda CDM, utashinda ubunge kwa CHAUMA? Nimesimama paleee!
@PabloYende Amejenga maisha yake kwa usawa hakuwahi kubagua hivyo acha kumchonganisha na walimwengu.Kwani ungeandika ukweli kuwa upo na Legendary wa Mashindano ya Magari ungepungukiwa nini?