"Wamekuja Gen Z. Wametikisa misingi.
Hawapokei majibu ya zamani kwa maswali ya kisasa.
Hawajui cha mzazi maana hata wao ni wazazi tayari.
Hawana dini, hawana itikadi.
Hawana passport wala mpaka wa nchi, na hawana miiko iliyoandikwa.
Risasi haiwapunguzi, inawaongeza.
Mabomu ni mbolea yao.
Wanahitaji kusikilizwa siyo kuhutubiwa. Zingatia".
Askofu Bagonza
Kama wewe ni Mtanzania na umempigia kura huyu mzambia @theSavatir badala ya kumpigia kura dalali @YerickoNyerereT hakika wewe ni mzalendo wa kweli hebu chapa retweet ili ndugu yetu mzambia @theSavatir aone Love kubwa la wapiga wake wabongooo ๐น๐ฟ
@puntland97@Sativa255 Kuma la mama yako jeshi gani wanakubali nguo zao zivaliwe na mtu asiye mwanajeshi, kama wanaruhusu wahuni wavae nguo zao wajue watu kwanini wanazuia rais wengine kuvaa for fun
Msanii anaimba
โAfande Teremsha Bundukiโ
Mnasema anachochea vurugu!!
Kwahiyo mlitaka aimbe
Afande usishushe Bunduki Walenge Uwaue!!
Hapo ndio atakuwa hachochei vurugu anahubiri amani!? Ndiyo amani mnayoitaka?
Yani nyie mwisho wenu Tarehe 29th
Mungu hawezi kuwa upande wa watesi hata kidogo!!
#TEREMSHA_BUNDUKI SONG Link๐๐ป
https://t.co/qdpqs75I6H
Thank you Peter !
Philippians 4:8
Finally, brothers and sisters, whatever is true, whatever is noble, whatever is right, whatever is pure, whatever is lovely, whatever is admirable if anything is excellent or praiseworthy think about such things.
Sikia bro,
Kila mtu anayesoma hii Tweet ipo siku atakufa, hii ni natural principle... ila kama upo hai kamwe usiishi kama mtu aliyekufa.
Uwepo wako hapa duniani LAZIMA uonekaneโ ๏ธ