@SuphianJuma@TitoMagoti@SuluhuSamia Hili jamaa (@SuphianJuma) lipumbavu sanaa...nishakwambia kama ìpo ipo tu kujifanya chawa ili upate uteuzi ni upumbavu wa hali ya juu..kaa tulia mbona watu kama Kheri James wanaakili ninyi uvccm wengine mnapeleka wapi akili.?
@YerickoNyerereT Uhuni tu...hakuna ukweli wowote wewe Nyerere na uchawa wako ushakuwa zezeta kwa sasa,hujitambui tena akili yako imekuwa kama ya vijana wa hovyo wa uvccm..ushakuwq chawa unavizia teuzi,toka umeenda huko huna akili zaidi ya uchawa,mbona James Mbowe anajitambua kuliko wewe?
@YerickoNyerereT Uarabuni hakuna tatizo ataenda maana ndiyo anakowauzia hizo dhahabu,mbuga za wanyama n.k lakini hawezi kwenda ulaya na USA for now. Kwahiyo elewana bwana Nyerere siyo kubwabwaja tu na uchawa wako wa chauma maana mnatafuta teuzi ndiyo maana mmegeuka machawa.
@ComradeKawaida Kawaida siku ukiacha upumbavu utakuwa kijana smart sana...ila akili yako imejaa upumbavu na hicho cheo ndiyo kimekuwa kilevi kwako kiasi kwamba hufikirii maisha baada ya cheo au unaona utabaki hapo milele, walikuwepo wangapi dogo??
@SuphianJuma Pikpiki tu picha kibao tena fmailia nzima..siku ukinunua gari si mtapiga picha kijiji kizima,thawabu kwa Mungu wala huwa haina advertisements kama hivi. Wewe nunua zawadi ya Mzee wako mkabidhi kimya kimya hiyo thawabu Mungu anakuhesabia mema mbinguni,sitakufundisha kila kitu
@SuphianJuma@SuluhuSamia We nawe mpumbavu kweli,wewe pekee yako unapingana na serikali...Rais mwenyewe alionesha kusikitika kutokana na kadhia ya kunyimwa misaada nje wewe unaleta upuuzi wako hapa. Kama huna hoja kaa kimya.
@_zack255 Anatafuta njia ya kuwapoza TEC ili waunge mkono ukiukwaji wa HAKI za binadamu za Kikatiba, lakini hataweza kanisa Katoliki limenyooka sana wala halipepesi macho.
@SuphianJuma@SuluhuSamia Pumbavu wewe Acha kuhukumu watu kuwa ni wahaini, wewe siyo Mahakama..tatizo uchawa unawazidi hadi mnakuwa wapumbavu wewe na mtu mfu mnatofauti gani? Kila siku unawaza ujinga ujinga tu...ndiyo maana hata hiyo nafasi unayoitafuta kwa nguvu hupati!!!
@SuphianJuma Wewe jamaa ni Mpumbavu kabisaa,badala utoe pole kwa waliofiwa na wapendwa wao unaleta pumba zako hapa,hivi vijana wa uvccm ndiyo mmekuwa wajinga kiasi hiki??
@SuphianJuma Kama Magufuli pamoja na kuajiri watalaamu kutoka nje ili wa-hack account za Mange alishindwa ,akataka kumkamata kwa kutumia extradition akashindwa sembuse Hamza ambaye hana hata knowledge ya uwakili,analeta ubabe kwenye sheria...poor!!!