” Inawezekana tatizo la paka kwa panya lingekwisha kwa paka kufungwa kengere shingoni; tabu ni kumpata panya wa kufanya kazi hiyo. Na panya watakuwa wajinga sana kwa kudhani paka watajifunga au kufungana kengere”.
#Happynyerereday
Miongoni mwa madaraja ya juu kabisa ya upendo wa kweli ni kuyavumilia makosa ya yule unayempenda. (Yavumilie makosa yake) ili umsaidie kuyarekebisha, na sio iwe ndiyo fursa ya kumuadhibu na kumlaumu.
#Trustyourhustle.✊️