@kigogo2014@mshambuliaji Nimecheka kwa dharau sana🤣🤣
Kweli Bunge limepoteza hadhi kabisa, mpaka mkuu wa mkoa anaamrisha bunge, nikajua kiti Cha juu tu kumbe hata huyu anaweza wapa amri🤣🤣
Kuna mambo yanafurahisha ukisikia toka kwa maCCM
👉Chadema ina wabunge 62
👉CCM ina wabunge 287
Lakini Chadema wakitoka bungeni mnaumiaaa utafikiri mmefiwa.Kwani hamuwezi kufanya mambo ya bunge mkiwa peke yenu?Mbona mna gubu sana kama watoto wa kambo? Kukaa peke yenu hamuwezi au?
Wadau wa Elimu Arusha poleni kwa kifo cha ghafla cha OLE TEIPA, Mkaguzi Mkuu wa Elimu Wilaya ya Meru kilichotokea leo. Bwana alitoa, Bwana ametwaa. Jina lake lihimidiwe! 😣