Omba Neema ya MUNGU ikusaidie una LIMITATION au STAGNATION , kaa chini fikiria kwa kina sana unapitia wapi? Kumbuka mapenzi ya MUNGU ni kufanikiwa (Zaburi 1:3) Soma MWANZO 26 (Isaka Gerari alitokaje kwenye stagnation) na Yusufu Kitabu cha Mwanzo kutafsiri ndoto hadi uwaziri mkuu
Tujitaidi sana KUJENGA & KUKUZA UWEZO WETU WA NDANI (inner capacity) ili tuwe bora kwenye maeneo yanye changamoto katika maisha ya kila mwanadamu (Uchumi, Ndoa, Familia etc)
Uwezo ya nje kila mtu anao, uwezo wa ndani ndio huleta utofauti wa kimatokeo kwenye maisha.
#Biblia✅
Chochote alichoweka MUNGU ndani yako, wewe kama mfanyabiashara, mfanyakazi au mtoa huduma kinapaswa kuzaa.
Soma andiko (MATHAYO 25: 14-30) juu ya Talanta 5, 2 & 1 wakazalishe.
#Mungu atubariki tuwe wazalishaji wazuri🤲🙏
Unapowekeza kwenye masoko ya hisa na ukaona bei ya hisa ulionunua imeshuka io haimaanishi kua umepoteza, Unapoteza pale tu unapoamua kuuza.
Long-term Investing haitegemei hype, headlines na kelele za Kila siku za mitandaoni.
Mungu wangu ananipenda sana kuna matukio mengi ya hatari amekua akiniepusha nayo kwa nyakati tofauti mpaka huwa nakosa neno la kusema.
Unakuta wakati mwingine nimekaa zangu mahali mara nasikia roho inaniambia ondoka hapa haraka, nanyanyuka na kuondoka ile nimeondoka tu, nashangaa napigiwa simu naambiwa muda ule umeondoka tu hazijapita hata dakika 10 kuna jamaa wamekuja hapa na gari haina plate # walikuwa wanakuulizia.
Au wakati mwingine nataka kwenda mahali ila roho inakataa kabisa, asa nikiforce lazima nikutane na lakukutana nalo.😥
Hata ile siku Vijana wa Mafwele wameniotea, roho ilikuwa inanimbia ondoka Kisutu, nikapuuza, mdogo angu @JohnNgutiCDM alinipigia simu mara tatu ananimbia, Sister ondoka hapo Kisutu ni kubaya sana leo, njoo huku Mikocheni HQ nikamuitikia lakin bado nikaendelea kubaki mwisho jamaa wakaniotea.
Kiukweli ile siku nilijilaumu sana, moyoni nilikuwa na majuto mengi nikajisemea kama ningeisikiliza roho yangu wakati inaniambia niondoke wala yasingenipata.
Kuna muda kila nikitafakari haya mambo huwa nashindwa kabisa niseme nini mbele za Mungu najikuta naishia tu kusema asante Baba wa mbinguni, wewe uliyeumba mbingu na nchi maana kama ungekuwa sio mkono wa Mungu huenda mpaka muda huu ningekuwa nilishapotezwa na kusahaulika.
Lakin pia nawashukuru wote ambao huwa mnaniombea kwenye sara zenu wengine hata hatufahamiani lakin mkipata muda huwa mnaniombea Mungu awabariki sana, tuendelee kuombeana maana maombi ni silaha moja kubwa sana katika vita hii maana Biblia inasema ”VITA SI YENU BALI NI YA MUNGU” so tuendelee kusimama upande wa Haki, tuendelee kuamini Mungu atatushindia.🙏❤️
I had another dream,
Nikaona wananchi mtaani walikuwa wana hasira kali na furaha kuu. Wakakusanyika wakati sijajua wamekusanyikia nini, nikaona farasi na wapanda farasi, wenye mabaka mabaka, na mishale mikali inayong'aa, walikuwa na hasira kali sana wakauliza wananchi mtakuwa pamoja na sisi?? Wananchi wakashangilia sana kwa sauti kuu sana. Ghagla ikataokea farasi nyingine yenye wapanda farasi wenye sale za kaki, wale wenye sale za bakabaka walipowaona tu wenye sale za kaki walijaa hasira kali mno, wakawafukuza kwa wananchi. Wakataka kuwapiga mishale ndipo nikakumbuka haya ni kama mambo yaliyopita, wakati naendelea kutazama nikaanza kusikia sauti za mishale upande wa pili wa ule mji, kumbe wananchi wa upande wa pili wapo mtaani tayari. Sikuwaona ila kwenye ndoto nilikuwa napata ufahamu kwamba wapanda farasi wenye sale za mabaka mabaka wanawapiga mishale wenye sale za kaki watoke mbele ya waanchi. Walikuwa na hasira sana. Nikaona kama walikuwa wanasema hakuna wakati mwingine ni sasa. Ndoto ikaishia hapo.
Mwenye akili na afahamu.
Maendeleo hayawezi kuwa kisingizio cha kuua watu, kuteka watu, kutofuata sheria, kuua demokrasia, kuleta uchawa, kuua bunge la wananchi nk..
Hivi baba yake Ben Saanane, mama yake Polepole, mke wa Mdude , mtoto wa Kipanya na maelfu ya waliotekwa na wengine kuuawawa.. familia ya Mzee Kibao au Mohamed Dewji alietekwa na kwa bahati akarudi…
Hawa watu Unawezaje kuwambia kiwango cha Maendeleo kinachotosha kuteka na kuua ndugu zai bila hatia?
Hakuna Maendeleo yanayoweza kulinganishwa na uhai wa mtu, Maendeleo ni kwaajili ya binadamu sio binadamu kwaajili ya maendeleo… watu wote wakifa hakutakua na maji, wala umeme wala barabara.
Unaweza kuwa kiongozi bora, ukafuata sheria, ukajenga demokrasia na bado ukafanya Maendeleo makubwa mno na Inawezekana.. Kiongozi dikteta ambae hajengi taasisi hakubaliki.
NINI KINAENDELEA UHAMIAJI!
Ni wiki ya pili sasa tangu Uhamiaji Tanzania wasitishe huduma zote za Kieletroniki ukiwemo utoaji wa passport za aina zote kwasababu ya kinachoitwa tatizo la ufundi.
Kuna Watu wanawagonjwa wao ambao walitakiwa kwenda njee ya nchi kwa ajili ya matibabu lakin wameshindwa kusafiri kwasababu hawana passport na Uhamiaji imesitisha Utoaji wa Passport.
Lakini pia hata hapa Dar kuna Malori mengi yamepaki kwasababu Madereva wa Malori hayo ambayo yanasafirisha mizigo kwenda nchi jirani wengi huwa wanatumia Temporary passport so wameshindwa kuendelea na safari kwasababu Temporary passport zao zemeexpire na Uhamiaji wamesitisha utoaji wa passport.
Kibaya zaidi kuna Malori yalikuwa yameshapakia mizigo na madereva walijua wakifika mipakani kwenye ofisi za Uhamiaji watapata izo Temporary passport lakin ndo ivo imeshindikana so ni wiki ya pili sasa wamekwama na mizigo ya watu huko border ya Kasumulu, Namanga, Tunduma, Mutukula n.k
Halafu kuna watu pale Uhamiaji wameajiliwa kwa ajili ya hii kazi na mpaka sasa wameshindwa kupata ufumbuzi kinachoitwa CHANGAMOTO YA UFUNDI.
Halafu kila siku huwa tunawaambia haya mambo ya kuajiri watu kwa kujuana/vimemo bila kuzingatia UWEZO NA UFANISI yanauwa Taasisi, hamsikii.
Kwasababu wa uzembe wenu leo mnatesa mamia ya Watanzania bila sababu ya msingi.
YAJUE HAYA MAMBO MUHIMU KABLA HUJAAMUA KUWEKEZA KWENYE HISA ILI BAADAE USIJE KUJILAUMU NA KULAUMU WATU
1. ELEWA HISA NI NINI HASA
Hisa ni umiliki wa sehemu ya kampuni. Ukununua hisa, unakuwa sehemu ya wamiliki wa biashara hiyo faida na hasara zote zinakuhusu.
…
2. ELEWA HATARI (RISK) ILIYOPO
Bei ya hisa hupanda na kushuka. Soko linaweza kukupa faida leo na kesho likakupa hasara ya muda.
Usitumie pesa ya kodi, ada au dharura kuwekeza kwenye ila kuna sehemu unaweza wekeza hiyo pesa
....
3. CHAMBUA KAMPUNI KABLA YA KUNUNUA
Angalia…
• Faida zake kwa miaka kadhaa
• Madeni yake
• Ukuaji wa mapato
• Uongozi wa kampuni
Usinunue kwa sababu “watu wanasema itanunuliwa.” Au umeona huku mitandaoni inapigiwa kelele mno
......
4. ELEWA TOFAUTI YA UWEKEZAJI NA KUBETI
Uwekezaji ni wa muda mrefu.
Kubeti ni kutaka utajiri wa haraka.
Ukija na mindset ya haraka kisa umesikia mtu kaweka 20M december na februry ana 40M kitakulamba, soko litakufundisha kwa hasara.
.....
5. KUWA NA MALENGO YA MUDA MREFU
Hisa zinafaa zaidi kwa watu wenye subira.
Miaka 3–5+ ndio muda unaoanza kuona nguvu ya compounding.
......
6. USIWEKEZE PESA ZOTE SEHEMU MOJA
Diversification ni kinga.
Usiweke mtaji wote kwenye kampuni moja au sekta moja. ( pia sio uchague makampuni mengi NO)
.....
7. ELEWA SAIKOLOJIA YA SOKO
Watu wanapopanic, bei hushuka.
Watu wanapokuwa na tamaa, bei hupanda sana.
Ukishindwa kudhibiti hisia zako, utaishia kununua juu na kuuza chini.
.......
8. FAHAMU GHARAMA ZA UWEKEZAJI
Kuna:
• Ada za udalali
• Tozo za miamala
• Kodi ya gawio
Gharama ndogo ndogo hupunguza faida yako.
.......
9. KUWA NA MFUKO WA DHARURA KWANZA
Kabla hujawekeza, hakikisha una akiba ya angalau miezi 3–6 ya matumizi yako. Au unawekeza pia sehemu unayoweza kuoata peda haraka mfano kwenye M-wekeza au mfuko Wa Ukwasi Utt
Hii itakusaidia usilazimike kuuza hisa kwa hasara.
….
Ukiwekeza bila kuelewa haya, siku bei ikishuka utaanza kulaumu:
dalali, serikali, soko, au aliyekushauri.
Lakini ukweli ni huu:
Soko la hisa linamlipa mwenye subira, nidhamu na maarifa.
Haya, maisha yanapita kwa kasi sana. Miaka 50 inayokuja, takribani watu wote ulionao kwenye contacts zako hautakuwa nao kabisa, na pengine wengi hawatakuwepo. Na vitu kama magari na mali nyingine vilivyo tufanya tuwe wakatili, vingi havitakuwepo. Hakuna atakayekukumbuka sana, zaidi pengine wajukuu zetu , na wao hatuna uhakika.
Kwa hiyo, haya maisha ukiyatafakari sana, utagundua utajiri mkubwa unabaki kuwa upendo na uhuruma tu. Hakuna kitu kina thamani kwa binadamu kama unyenyekevu na upendo. Thamani yake ni kubwa kuliko kumiliki New York nzima na London. Tukijua hili, maisha hayapotezi thamani bali yanaongeza thamani. Nakuombea, kwa Mungu, uishi nafasi yako ya sasa kwa matendo. Vinginevyo ni UBATILI MTUPU.
Una Miaka 20-35?
Unafanya Biashara na unatamani Kujenga Uchumi imara na utajiri utakaodumu kupitia faida unazopata kwenye biashara?
Wekeza sehemu ya hizo faida kwenye HISA.
Hujui ufanyeje? Hii hapa somo kamili juu ya Hisa.
⸻
1. HISA NI NINI?
Hisa ni umiliki wa sehemu ya kampuni. Unaponunua hisa, hauweki hela tu bali unanunua kipande cha biashara.
Kadri kampuni inavyokua, faida na thamani yake ndivyo vinavyokugusa moja kwa moja kama mmiliki. Ndiyo maana hisa si karatasi wala namba kwenye simu, bali ni umiliki halali wa mtaji.
⸻
2. KWA NINI UWEKEZE KWENYE HISA?
Hisa zinatoa fursa mbili muhimu:
i) kupata mapato kupitia gawio
ii) kukuza mtaji kupitia kupanda kwa bei ya hisa.
Zaidi ya hapo, hisa ni njia mojawapo bora ya kulinda pesa dhidi ya mfumuko wa bei kwa muda mrefu. Ndiyo maana watu wanaojenga utajiri mkubwa hutumia hisa kama nguzo ya msingi.
⸻
3. HISA ZINANUNULIWA WAPI TANZANIA?
Nchini Tanzania, hisa hununuliwa kupitia Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE).
Hapa hununi moja kwa moja kwa kampuni, bali unanunua kutoka kwa wawekezaji wengine kupitia soko. Hii huitwa secondary market, na ndiyo njia rasmi na salama ya kufanya uwekezaji wa hisa.
⸻
4. AKAUNTI MUHIMU KABLA YA KUANZA (CDS)
Kabla ya kuwekeza lazima uwe na akaunti ya CDS. Akaunti hii ndiyo inahifadhi hisa zako kidigitali na kuthibitisha umiliki wako. Bila CDS huwezi kununua wala kumiliki hisa, na ndiyo sababu ni hatua ya kwanza kabisa kabla ya pesa.
⸻
5. UNANUNUAJE HISA HATUA KWA HATUA
Baada ya kuwa na CDS, unachagua kampuni unayotaka kuwekeza, unaweka oda ya kununua kulingana na bei ya soko, unalipia, kisha unasubiri oda itimie.
Ukishanunua, umiliki wa hisa zako huhamishwa kwako rasmi baada ya siku tatu za kazi. Mchakato ni rahisi kuliko wengi wanavyodhani.
⸻
6. NAMNA YA KUCHAGUA KAMPUNI NZURI
Mwekezaji mzuri hanunui kwa hisia. Anaangalia kampuni inafanya biashara gani, kama inapata faida, historia ya gawio, na nafasi yake kwenye sekta.
Kampuni bora mara nyingi ni zile zinazoongoza kwenye sekta zao na zina uwezo wa kuhimili misukosuko ya kiuchumi.
⸻
7. HATARI ZA UWEKEZAJI KWENYE HISA
Hisa hubadilika bei kila siku, na wakati mwingine kampuni inaweza kufanya vibaya.
Kuna miaka kampuni haitoi gawio, na kuna nyakati soko linashuka kwa ujumla. Ndiyo maana pesa ya dharura au mtaji wa Biashara au pesa pekee uliyonayo haifai kupelekwa kwenye hisa.
Hisa ni kwa pesa ambayo unaweza kuiacha ikue.
⸻
8. TABIA ZA MWEKEZAJI BORA WA HISA
Mwekezaji bora ana mtazamo wa muda mrefu. Hafanyi maamuzi kwa hofu wala tamaa, na anasambaza uwekezaji wake kimkakati badala ya kuweka kila kitu sehemu moja. Anajua kuwa faida kubwa hutokana na muda, si haraka.
⸻
9. MAKOSA MAKUBWA YA MWANZO YA KUEPUKA
Makosa ya kawaida ni kuwekeza bila elimu, kufuata maneno ya watu, au kutegemea kupata utajiri wa haraka. Hisa sio betting wala shortcut ya mafanikio. Ni mfumo wa nidhamu unaomlipa mtu anayevumilia na kufikiri kwa muda mrefu.
...
Uwekezaji kwenye hisa ni safari ya maarifa, subira, na maamuzi sahihi. Unaweza kuanza kidogo, ukajifunza njiani, na kadri muda unavyokwenda, mtaji wako nao unakua. Mwisho wa siku, hisa humlipa anayeheshimu muda.
May the weight of your cruelty and abuse of power fall upon your family, and may you be haunted by the suffering you have caused. May your family bear the shame of your actions, and may you live as a fugitive , isolated, disgraced, and rejected for what you have done.
Your father is now going to die and you will live the life of a fugitive. Big fool.
Kama una hazina ya fedha ya kutosha ambayo unaweza kufanyia uwekezaji basi nakushauri KUCHIMBA VISIMA badala ya Kujenga nyumba za Biashara!
Moja ya Solution itakayokupa fedha zaidi ni kuuza maji katika vijiji mbalimbali nchini.
Usisubiri yatokee, will be too late
#MsimuMpya
So mwisho niseme, MWAKA HUU NENDA KWA MIPANGO USIFAIDISHE TU WATU, JIFAIDISHE WEWE NA FAMILLIA YAKO.
ZALISHA, KIASI WEKA AKIBA KIASI TUMIA, KIASI JIPONGEZE.
Mahali tunapita ni JANGWANI, tukianza kupanda Mlima aliyeweka AKIBA atakuwa na THAMANI sana ktk safari.
BARIKIWA SANA!
Dear Mr. President @realDonaldTrump
If you were to remove this murderous leader from Africa, just as you removed Maduro from Venezuela without civilian casualties you would be regarded as a hero across the African continent. Africans remain deeply shocked that on October 29 2025 Tanzanian’s illegitimate president, Samia Suluhu shut down the internet and electricity nationwide for 72 hours and then ordered the killing of more than 10,000 Tanzanians. Two months later, she remains in power, and there has been no meaningful response from either the African Union (AU) or SADC.
Some critics have condemned those of us who are appealing for U.S. intervention, arguing that Tanzanians should confront this brutal regime on their own. Let me be clear: Tanzanians did resist. On October 29 2025,they took to the streets, and they were met with live bullets. Protesters were shot dead until the demonstrations were completely crushed. Even those who were at home, they were shot in their homes just instill fear.
So I ask a simple question to anyone who doesn’t support US intervention in Tanzania how many more Tanzanians must be killed by their own government before U.S. intervention is considered justified? Please give us a number. Is it 50,000 more? Or 100,000 more?
To those who argue that the United States will not assist Tanzania because it lacks crude oil, that is not the main reason Maduro is no longer president of Venezuela. The real reason he was easily removed is that his own people rejected him and considered him an illegitimate leader. This is the case in Tanzania. The country will literally take to the streets to celebrate the end of the brutal CCM/Samia era.
As for the “America First” policy, Tanzania possesses vast natural resources, including uranium, natural gas, coal, nickel, lithium, gold, tanzanite, and diamonds. These resources are currently being heavily exploited by countries such as the UAE, China, and Russia. These same countries continue to support the murderous regime. These countries do not care about Tanzanian lives, they don’t care how many of us get murdered by the government as long as they get to loot. In fact, the UAE is supplying the Tanzania government with weapons that are being used to kill civilians.
If the United States were to support the people of Tanzania, we would end the strategic dominance of the UAE, China, and Russia and instead build a strong partnership with the U.S. This would be a win–win situation for both nations.
@realDonaldTrump Please also urge Mr. Zuck to reinstate my Instagram, facebook and WhatsApp accounts that were taken down 4 weeks ago after meta was pressured by the Tanzanian government. It’s alarming that US tech companies are helping authoritarian government to censor critics. Also 1 tech company should not be allowed to own so many critical social media platforms. In 1 hour I was literally removed from 3 major platforms simply because 1 company owns them.