@Odds1469205@IssaYMaulidi@pastajoshuatz Mi natumia Mikrotik Router. Winbox ni app ya Mikrotik inayokusaidia kufanya vitu vingi. Mfano kutengeneza user na password za users wako, kuwapangia bandwidth, kuwaona wote wanaotumia na device zao. Anaescan utamuona
@Meshaki18@HildaNewton21 Dah sasa mkuu kwq kufuatilia kote hujajua kinatafutwa nini? Hakuna kesi hapo, wanawekana sawa kikatiba. Maana mara nyingi katiba imevunjwa na bwana jela. Mahakama ikiamua Wageni wanaotakiwa kumtembelea Lissu weekend waende, basi wataenda.
@George_Ambangil Wanaionaga Argentina papatu papatu sana. Misako inafanya Argentina hawaiongeleagi kabisa. Ngoja saa nne sio mbali na kiatu tunakibeba.