#EAtrending| Kutoka Tanzana leo tunazitazamia #TanzaniaTop100.
Hizi ni ngoma 10, za mwanzo katika nyimbo 100, ambazo zinafanya vema sana katika chati ya @BoomplayMusicTZ wiki hii.
Bila shaka msanii kutoka @Wcb_Wasafi ameendelea kufanya vizuri Hongera sana @officialzuchu
#EAtrending| Usiku wa August 8,2020 ni picha kutoka Mkoani Mtwara kwenye Show ya @OfficialAliKiba
Huu ndio ujumbe wake kwa Mashabiki zake kutoka Mtwara ''Nime enjoy sana Mtwara asante
#KingKiba''
#trending
#EAPromo| LEO NDIO SIKU INAYOSUBIRIWA SANA NA MSHABIKI WA RICH MAVOKO...
Huu ndio ulikuwa ujumbe wake "I miss all my people just keep the date on your Mind" ni tarehe 7/8/2020.. kaa karibu na East Africa Promotion.
@RichMavoko
Kutana na hit kutoka kwa @babbi_music akiwa kampa Shavu Mkali @artist_bm na kibao kinakwenda kwa Jina la #Ningisa youtube link https://t.co/ySudHJgUsi
Enjoy ni hit tu.