Wanangu Mchongo!
Anahitajika :- Tabibu wa kinywa na Meno(Dental Therapist)
Mshahara mzuri
Kituo cha kazi:-(Dar es salaam)
MOBILE:
0784288219
0679324986
NB: Tuma message ya kawaida au whatsapp tuu.
( Usipige simu Tafadhali.)
๐๐ฆท
MOROGORO: Mdau wa https://t.co/dDd21Ugmlv anatoa wito kwa Mamlaka husika kutoa mwongozo, ili kuwe na uwiano kati ya nidhamu ya Kazi na mahitaji halisi ya Kielimu kwa Wanafunzi.
Unadhani ni sahihi kuzuia matumizi ya Simu kwa Wafanyakazi na Wanachuo wakiwa katika Mazingira ya Kazi au Mafunzo?
Shiriki mjadala https://t.co/kZDCBqEl5F
#JamiiForums #DigitalRights #JFMdau2026
Sijaelewa sababu za msingi polisi kupiga raia vibaya namna ile kama wanataka kuua magaidi. Bahati mbaya zaidi ni watu waliofika mahakamani, kuna dhambi za kuepuka kwenye hii dunia hasa hizi za kwenda kumfanyia unyama binadamu ambae hana hatia na wewe.