Katika kuadhimisha miaka 33 ya Chama chetu…
Wilaya ya Nkasi kulipangwa kufanyika tukio la kupanda miti zaidi ha 1,500 katika ofisi zetu za chama na viwanja vya chama..
Cha ajabu polisi wa wilaya hiyo wakishirikiana na polisi kutoka Mkoa mzima wamevamia na kutumia mabavu kutawanya watu bila kuzingatia hata kinachofanyika..
Taarifa nilizo nazo ni kwamba wanakamata kila mtu anaonekana na nembo au alama ya chama chetu.
Sisi sio wahalifu, sisi ni taasisi ya umma. Hatutakubali kuzuiwa kufanya shughuli zetu ambazo ni halali.
ZAMBARAU walisaini KANUNI na kushiriki uchaguzi. Baada ya KUBUTULIWA wanasema UCHAGUZI haukuwa HALALI. Lakini wanampongeza ADO kupewa UBUNGE. Kamati kuu yao imekutana na KUAZIMIA ni kwanini hawajapewa VITI MAALUM kutokana na uchaguzi HARAMU. Tofauti ya UBONGO wao na MAVI ni JOTO
She shot and killed over 10,000 of her fellow Tanzanians to retain power.
Sixty days after an election she claims to have won with 98% of the vote, she is still living in hiding and only appearing in heavily controlled environments. She sends her ministers to represent her abroad instead of appearing herself, fearing to meet the same fate she imposed on Tanzanian youth.
Justice is coming, and when it does, everyone who chose to remain silent during our suffering should remain silent then as well. Hatutaki unafki…….
Maelfu kwa Maelfu tayari tuko barabarani. Ninajisikia furahi isiyokuwa na mwisho,kujua ya kuwa tanganyika nchi yangu ambayo naipenda kwa dhati, inazaliwa upya. Kwa maelfu waliouawa Oct 29,mungu awape pumuziko la milele, mwanga uwape ee mungu muumba mbingu na nchi.
❗⚡🇹🇿As renewed protests kick off in Tanzania. There's one thing to note: Tanzanian will never be the same, innocence has been broken
The deaths witnessed in the disputed polls, is akin to Tanzania's 9/11 moment.
- @SaharaWire OPINION
Ushindi
Day 1 🔥 na siku haijaisha 😀
Sasa mtandao hawajazima ila umekuwa mzito watu wasiweze kutuma picha na video 🙄
Shida mnafanya mashindano na wananchi mamilioni na msichojua - hatuna deadline
#D9TanganyikaDay#D9Tunatoka
UPDATE ROAD BLOCKS
So far nimepewa road blocks kwenye ramani ni rangi ya bluu
Nasubiri njia ya Ukonga nk tujue
Lakini kama mnavyoona huku chini kuna upenyo zaidi
- TANZANITE BRIDGE
- AGAKHAN ROUNDABOUT POSTA
- SELANDER BRIDGE
- MAGOMENI MAPIPA
- MAGOMENI KANISANI
- KINONDONI STUDIO
- STANBIC BANK KINONDONI
- AZIKIWE POSTA WIZARA YA MAMBO YA NDANI
- BARACK OBAMA ROAD TO IKULU CLOSED OFF
#D9 #D9Tunatoka #D9TanganyikaDay
JWTZ MNASUBIRI NINI KUMPINDUA SAMIA NA SERIKALI YAKE HARAMU?NINI KINACHOWAKWAMISHA?WANANCHI TUNATAKA JESHI MCHKUE NCHI TUTAWAUNGA MKONO HAMTAAMINI MACHO YENU WATANGANYIKA TUMECHOKA KUTEKWA NA KUUWAWA,TUMECHOKA UMASKINI,TUMECHOKA KUTAWALIWA NA WEZI WA KURA NA VIBAKA WA UCHAGUZI
📍Mwanza #Tanzania
People are out marching already - and Mwanza has managed to circumvent the illegitimate lockdown in Ilemela!
Maandamano hayana kikomo hadi kieleweke!
#D9Tunatoka#D9TanganyikaDay
📍Mwanza
#D9 Hatumtaki Samia ✊🏽🇹🇿
Jamani wanajeshi hawana ishu wao wapo tu wapiteni nendeni zenu 💪🏽
Kama anakuzuia askari piga picha nitumie tunaandaa ripoti
Freedom of movement is key! There is no curfew just ILLEGAL LOCKDOWN that is not justified
#D9Tunatoka
Msidanganyike Kwamba Hakuna Maandamano Kwenye Nchi Hii,Ni Suala La Muda Tu,Bila SAMIA, Kuondoka Madarakani Nchi Hii Haitotawaliwa Amini Nawambieni Maandamano Yataanza Muda Na Wakati Wowote Na Ikumbukwe Kuwa Ni Maandamano Yasiyo Na Kikomo Hadi Utawala Haramu Uondoke Madarakani.
Tarehe 12/12 ni Birthday Yangu!!
Tarehe 9/12 ni Birthday Ya Nchi!!
Mungu atusimamie tukazile hizi KEKI!!
In The Mighty Name Of Jesus
Tunaomba Na Kushukuru….Ameen 🤲
Kumficha mtu kwa saa 48 bila kumfikisha Mahakamani au kumpa dhamana ni kuvunja sheria mnazotakiwa kuzifuata. Muacheni HURU ndugu @fbuyobe au mfikisheni Mahakamani kama kuna tuhuma zozote dhidi yake. Hii ni nchi yetu na wote tunayo HAKI ya kuishi kwa UHURU na AMANI. #FreeBuyobe
Speed haina maana yoyote kama umepotea njia.. kuongeza speed wakati umepoteza muelekeo unapotea zaidi.
Akili ni kupunguza mwendo, kusoma ramani na kuchukua muelekeo sahihi.