@JideJaydee Sawa jambazi pia ana ndugu lakini hata mtoto akikosea hupigwa. Ile clip ya kumcheka rais imeniuma mpaka mimi, Rais wetu ndio ametoka kwenye umaskini lakini si unamtia unyonge. Mbona upande wa Rais hamuangalii yeye hana ndugu au familia? Mzee wako akichekwa vile utapenda?
@mshambuliaji@zittokabwe Soccer liko nyuma kwasababu hakuna maslahi kwa wachezaji. Jengeni uwanja wa mpira kila wilaya, creat ushabiki baina team na team za kata au mji nchini kote, washabiki wawe mashabik wa team za miji yao ndio kutakua na competition kama ulaya sio kila mtu simba au yanga.
@safari80048476 Yeye huwa anataka ukubali naye kila anachoandika au mpigie makofi ndio anafurahi. Wewe una umuhimu kuliko yeye, kwanini uumie ndugu yangu. Huyu anayetukana kila mtu hana umuhimu wowote.
@ccm_tanzania@mtondaabdallah@MagufuliJP Asante mheshimiwa Rais. Nami mimi na familia yangu tunakutakia EID njema wewe na familia yako pamoja na wanachama wa chama cha mapinduzi wote na waislam wote Tanzania nzima. Mungu Ibariki Tanzania.