Ukimaster sanaa ya kutokuchukulia vitu personal basi umemaster kuishi kwa amani milele. Kutokuchukulia vitu personal ni kutambua kuwa reaction nyingi za watu juu yako mara nyingi hazitokani na ulichofanya bali uelewa, historia, mihemko na experience za watu wenyewe.