@Cowwbama anaweza akawa umri wake tembeaa mtaaa i au siku nenda kilombero sugar alafu kawaangaliaa wale wakata miwa na uulize miaka yako unaweza kuliaaa watoto wadogo wamekaa kwa sabbau ya shida
@officialDrHerry pole bosss afte all anakusaidiaa ww🤣🤣mafundi wanatiaa saaana stress anaweza kuambiaa kitu ni 10 akifika site vinaongezea unasikiaaa 20
@Maestrowafact yaan kumbe haka ni katoto hata kubalehe hakajamalizaaa aaaagh imagine mtu unaenda urongoni i went there one day nilijioneaa aibu manake waliojaaa ni kama watoto wa chekecheaa humo ndani alafu wote wanacheza singeli i was lik wtf😮💨😮💨