Roho Mtakatifu ndiye bosi wa Kanisa Duninia kwa sasa katika ule utatu. Alikuja rasmi kama msimamizi mkuu wa kazi za Mungu Duniani siku ya Pentecost. Yesu anatenda/kuongea kutoka mbinguni. Ni kuhani mkuu kwenye Kanisa la mbinguni kwa sasa. Tuliyenaye ni Roho Mtakatifu.
Bado mdogo sana ingawa amejinadi anaweza kutmb nchi nzima.
Jina: ALLEN MUGISHAGWE RUGONZIBWA
Born: 6th July 1997
Sec Education at: St Joseph Millennium Sec School (2009-2013)
Good morning! ☀️ let's get this bread and these followers
comment your niche below ⬇️
I'm following back everyone who interacts
drop your @ and let's grow together
mutuals only eat 🍽️
the algorithm favors the bold today
Thread 🧵
Anaandika ALOYCE NYANDA
Nimeona hisia na mitazamo tofauti baada ya Makamu wa Rais kumaliza Hotuba yake. Binafsi nimeona sura mbili za Nchimbi. Leo nitaanza na sura ya kwanza.
𝘿𝙊𝙉𝙀 𝘿𝙀𝘼𝙇: Wananchi, Young Africans SC wamtambulisha winga Housseine Zakouani 28, raia wa Comoros kama mchezaji mpya klabuni hapo akitokea klabu ya Al-Zulfi FC ya Saudi Arabia.
#KitengeSports
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA Taifa (BAVICHA), Wakili Deogratias Mahinyila, amejibu kauli ya Makamu wa Rais, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kuhusu kudai Katiba Mpya, akisisitiza kuwa mfumo uliopo umeondoa uwanja wa haki na kufanya madai hayo kuleta madhara makubwa kwa wananchi.
Akizungumza leo Julai 24, 2026, Wakili Mahinyila ameeleza kushangazwa na wito wa Balozi Nchimbi unaowataka Watanzania kupambania Katiba Mpya wakati Serikali na Mamlaka zimekuwa zikijibu madai hayo kwa kutumia vyombo vya dola, kuweka watu mahabusu na kuwafungulia mashtaka mazito.
"Yeyote aliyejaribu kusimama na kudai Katiba Mpya yamemkuta mazito; wanaishia kupewa kesi za ugaidi na uhaini. Hivi ndivyo ilivyotokea kwa Mwenyekiti wetu wa Taifa, Tundu Lissu, pamoja na vijana wa CHASO ambao mpaka sasa wanaendelea kusota mahabusu kwa sababu tu ya kupigania Katiba Mpya," amesema Mahinyila.
Kiongozi huyo wa BAVICHA amebainisha kuwa tangu kipindi cha matukio ya Oktoba 2025 na kuendelea kwa matukio ya kutekwa kwa raia, wananchi na vijana wengi wamepitia wakati mgumu kwa kuitaka Katiba Mpya.
Tafauti na vitisho hivyo, Mahinyila amesisitiza kuwa Baraza hilo na vijana kote nchini hawatakubali kukatishwa tamaa wala kuacha kupigania mfumo mpya wa kikatiba utakaotenda haki kwa raia wote.
Kigamboni hujui nani ana ajira nani hohe hahe hasa kwenye Bar na liquor store
Jamaa kalewa hadi kajikojolea,anaamshwa Kamba simu ipigwe namba flani digit 5 tu
Tunashangaa mabaka mabaka wametimba kumchukua mwana🫡🙌