@kigogo2014 @IssaIscoIssa1 umeona hilo tu, wewe robot unashida, watz washaanza kukuzoea kuwa alwayz ni kukosoa tu, unazoeleka now day hata mm pia sikuelewi maana unakisoa pasipo stahili
@SuluhuSamia jiulize kwa nini speaker aliwapa chance wabunge waanze kurumbana baada ya kujadili mada za msingi? huyo speaker pia anatamani wewe ushindwe, mbona kwa magufuri mara mbunge akiongea kidogo anamwambia vifungu haviruhusu kumsema raisi vibaya, lakin
yule na speaker hawafai, hawana utii kwako na ndo maana unamuona speaker hata wewe mh ukiongea hana habari, hapigi makofi nk, sio mzuri, usishangae siku moja wakashawishi wabunge wasiwe na imani na rais, kwa hiyo nakuomba uwe na jicho la kuona mbali.