@airtel_tanzania Uthibisho wa leo huuu TIMIZA: Asante kwa malipo yako. Tafadhali lipa kiasi kilichobaki TSh 6.08 mara moja. Piga *150*60#, nenda TIMIZA na chagua chaguo 2.
@TCRA_Tz Airtel wananikata pesa Kila siku Bila concern YANGU wananitumia tu msg umelipa mkopo wako wa timiza amount inabadilika Kila siku Je nifanyeje Ili wasitishe kwa Kuwa nimepigia simu na wanaahidi kushughulikia Lakin Hawashughulikii?
@airtel_tanzania@Mkulungwa2021 Bora ungesema lingine unaweka 2000 saa mbili kabla ya saa mbili na nusu unapata msg ya bando kuisha ...Aiseee semeni tu kuna shida
@neemalugangira Inakuwa simple kusoma na kusikia lakin ukiwaona au kwenye familia yenu akipatikana sutafeel haya Mh.Neema anayosema.
Kwakweli sober zinafanya kazi nzuri lakin nafikiri ipo haja ya kuproffesionalise kwenye hizi sober uzoefu unaonyesha majority vijan hawaponi
@CarolNdosi maskini hebu sema na bint yang 'mweleze hata tukifundrise 3.8m still they will find their way to the internent. arelax tutsfundrise for a lawyer atakyemuhifadhi mahala pake huyo mpnz wake'mwoonyeshe wanawake kama monica ambao sex tape zao ziliwah toka ajifunze kupitiawao