In the world of darkness I look up at the star ๐
Son of God, father# happy and bold.
Teacher by professional, UDSM alumni, Simba sc and Liverpool FC.
Mtu ambae sio dikteta hawezi kuzuia sauti za wengine, wala kuchochea hasira kwa upendeleo wa wazi kwa familia yake, ni kweli Gadaffi alifanya mengi ya kimaendeleo ndani ya Nchi, kuna maeneo mengi sana alibagua, kuteka, kuua na kunyamazisha, total control ya mediaโฆ Lakini muhimu zaidi uhuru wa watu hauwezi kulinganishwa na chochote.
@Therealngassa Germany haijawahi kupoa, Sema siasa za kigeografia na vita vya kiuchumi ilishavishinda. Ukitaka kumjua Mjerumani vizuri kama ni mkali na hana utani ajitokeze yeyote amchokoze. Hata China ajaribu, atapigwa immediately.
@millardayo Mie hata kumwangalia huyu jamaa tu naogopa. Anayoyasema hayaendani na maisha yake na viongozi wengine. Ni mwongo. Je tutaendelea kuwapuuza ilihali wao wananenepa kwa gharama za Kodi zetu? Je yeye mshahara wake unalingana na vipato halali vya TZ? Au yeye yupo kundi lipi? too bad!
@Dorynbraids Shida tunaoa wake za watu. Ukibahatika kuoa mke wako bikra, kila kitu kinakuwa sawa. Hamjui mwanaume yeyote. Sasa tunaoa watu wamebeba m*oo 20 on their heads and you expect heshima! Kwanza anakushangaa ulimpendea nini mpka kumfanya mke.
@ayubu_madenge Kwani mashabiki wa timu ya YANGA SC ni wana ccm pekee? Mbona vyama vingine havichangiwii wanapokuwa na jambo Lao? Vyama kama CHADEMA, ACT, CUF nk mbona kwenye mambo yao vilabu hivii vinakaa kimya?