@prossoff Kikubwa alikua anataka ubunge, baada ya CHADEMA kujitoa kwenye uchaguzi, alienda ACT kwa ajili ya kua mbunge, wakapigwa mbele ya macho yao. as for now upepo upo CHADEMA lazima arudi. Ili next election agombee.
@zawadikivuyo@DoneSome18 Pole mzee, mimi nilikua na over 2m cashout ila nimechukua 700k at the end. @DoneSome18 . Thank you very much, usichoke kulisha mitaa tunaokuamini tunajua thamani yako. God bless