@godbless_lema Lema hua unaandika kwa busara sana na weledi mzuri maintaining ethics lkn kwenye kuongea duh🙌.. kama ile ya arusha juzi that was unethical speech kwa maoni yang
@ChazMurimi@mangekimambi@POTUS Sijajua umetumia kipimo gani kupima akili yangu. Lkn kitendo cha wewe tu kutumia kipimo iko bac nikijibizana na ww ntakua nmejivua nguo.