Najua uko smart,
Najua una akili sana,
Najua unasali sana,
Najua una marafiki,
Lakini leo ukisali muombe Mungu akukutanishe na mtu mmoja sahihi wa kuendana na mawazo na ndoto ulizonazo.
8,000,000,000 people on Earth. Almost no one knows you exist. The few who do are too busy to care. Relax. No one’s watching. Dear son, Go build your life.
Mwanangu kapiga simu usiku kama ngoma 9, nashida na 35k
Sikua na ela ila nilituma chap, sinaga utaratibu wa kutuma ela kutoka bank kwenda mobile network, ila nikatuma
Imefika tu ananambia nipo hospital dogo anaumwa
Kuuguza sio poa, naogopa sana yani
@MarekaMalili@Ngattaboe99 Kauli hii ina Ujumbe mzito kuhusu Wajibu, Familia na Urithi wa kiHisia tunaowaachia Watoto wetu.
Nyumbani Si lazima iwe Nyumba ya kifahari; Mara nyingi ni mahali ambapo Mtu anahisi Salama,anakubalika,anasikilizwa na anapendwa bila Masharti.
Tutengeneze nyumbani ya Watoto Wetu
Ee Mungu, nakushukuru kwa zawadi ya siku hii mpya.
Asante kwa uhai,afya,ulinzi na neema zako zisizoisha.
Ninakabidhi mipango,kazi,biashara mikononi mwako.
Nifungulie milango ya mafanikio,kibali na baraka.
Niongoze katika maamuzi yangu, uniondolee vikwazo na unipe hekima 🙏🏼
As a man, Eat protein. Lift weights. Focus on money. Go for long walks. Mind your own business. Believe in God. You'll solve 99% of problems in your life.
Jana nilipata wasaa wakukaa na MZEE wangu mmoja, akanipa shule ya maisha especially ya ndoa na namna ambavyo ni UTUME
Key take aways:
1. Tupo kwa ajili ya WAKE zetu na sio kwa ajili yetu
2. Law and order ya familia ni Mungu, Mke/Mume, Watoto then Kazi
3. Uhuru wako ni uhuru wake
4. Mavituzi si kwa ajili ya mume bali ya mke wako… ufanye sababu yake na si sababu yako
5. Watoto ni wajibu na ni lazima uwe na wajibu kwa watoto hao
Akakazia yafuatayo
1. Vijana wa sasa tumeflip law and order ya familia sasa ni Kazi, watoto, Mke/Mume then Mungu
2. Uhuru wetu sio wao na hivyo ni kasheshe
3. Lazima iwe furaha ya mke wako kabla ya yakwako, yani Happy wife happy life.
4. Tupange uzazi na hatuzai sababu yetu au tamaa zetu bali kwa matwaka na mapenzi yake Mungu
Hii ilikua ni post discussion ya Kikao cha wanaume na namna ambavyo mafundisho ya siku hizi yapo.
We move regardless. By the way nilmchapa rate 10/10 He is deep.
Hakuna kitu hatari kama kuwa Surrounded na watu ambao hawakwambia ukweli, haswa pale njia zako zinapokua sio sahihi.
Hii ni kuanzia personal level.
Ukweli ni mchungu sana, ila ni bonge la Tiba.
Ee Bwana Mungu wangu,
nakushukuru kwa siku hii.
Nakuomba unijalie kibali mbele za watu, neema katika kila ninachofanya, na bahati njema katika juhudi zangu.
Ameen 🙏🏼
Listen to these masterpieces.
1. Lose Yourself - Eminem
2. Till I Collapse - Eminem
3. HUMBLE. - Kendrick Lamar
4. Can't Tell Me Nothing - Kanye West
5. Stronger - Kanye West
6. Dreams and Nightmares - Meek Mill
7. Remember the Name - Fort Minor
8. Started From the Bottom - Drake
9. Power - Kanye West
10. All the Above - Maino ft. T-Pain
Don't talk to anyone for 48 hours and listen to these songs on repeat 24-7,
You'll be a different person.