TOYOTA RUMION NAMBA (EAN)*๐น๐ฟ
Full A/c
Full File
Year 2010
Engine 1NZ
CC 1490
FM/Radio*๐ฅ๏ธ
Mileage 93403kms
Clean Interior*โจ
Haina Shida yeyot ile
Rim Sports & New four tyres*๐
Contact: https://t.co/0vzDtCEnFs
Unapomwomba MUNGU mafanikio, Lazima uwe tayari kulipa gharama yake kupitia maumivu, kushindwa, kukataliwa, kupoteza, kudharauliwa, upweke na kuvunjika moyo. Hakuna njia ya mkato.
Wajivuni na watoa Mimba hawawezi jua Wala kuikaribia Furaha aliyokuwa na anayo ipata Mama Mzazi wa Jihani.
Wakati wa zoezi la upigaji kura likiwa linaendelea, siku kadhaa nyuma wanaharakati walitaka kuwakatisha Tamaa watanzania na kuwafanya wasipige kura kwa Jihan,
MISS GRAND INTERNATIONAL 2026
JIHAN MOHIN DIMACHK ๐น๐ฟ๐น๐ฟ
Hongera JIHAN
Hongera Tanzania ๐น๐ฟ
Hongera Afrika ๐ณ๐ฌ๐ฐ๐ช
Tumeweza๐ฅ๐ฅ๐๐
A man is happiest when he is making money, owning businesses, buying massive land, having a home gym, and building a big family.
Everything else is a distraction.
Kuna MAKUNDI siwezi kuyapigia kelele yakionewa na MASISIEMU kwasasa ni kuyaangalia tuu;
1. MACHINGA WA MAMA.
2. BODA BODA WA MAMA.
Haya makundi mwaka jana yalikuwa bize kila siku kufanya Press za kwamba wao wanalinda AMANI maana amani kwao ni bora kuliko HAKI.
Kilichobaki sasa ni kukaa kimya kuendelea kudumisha AMANI wasitusumbue.