Wale wauza simu makumbusho mafreemason, ana duka kubwa ndani lina cover, protector, charger na Visimu viwili ,
Halafu asubuh anakuja kufungua duka na Crown athletes...😅🫵🏾
Kuna mtaa nimepita hapa VINGUNGUTI kila nyumba imekatwa Dirisha…. Ukitaka chumba cha kupanga ni Tsh 15000 kwa mwezi ila ukiingia ndani usiache viatu nje, ukifua nguo unazilinda hadi zikauke
Ukiwa ndani umelala ficha simu yako
Gen Z tunaomba mapumziko yajayo yawe tarehe ya mbele ay ya nyuma mfano mmepanga 8 tunaomba iwe tarehe 7 or 9 ili siku za kupumzika ziwe nyingi sisi wengine maboss ni wakalii holiday inaishia ndani😔
Unafikiri kuanza ni kazi.
Subiri mpaka miezi 5 itakapopita na bado hukuanza.
Ndio utajua majuto alikua ni mjukuu, kituu au kilembwekeze.
Sehemu yenye ugumu si kuanza ni kufanya kwa muendelezo hata kama huoni matokeo.
Mzee nunua ardhi au hakikisha unanunua tung'ombe au tumbuzi hamna hamna nunua kondoo...usiseme ni gha'rama sana kama una hela kuna ardhi hadi ya laki tano na ng'ombe wa laki 5, kama unataka nicheki nikupe location ukajichagulie. Asante . Na hilo ndilo neno la Bwana.
Chagua mtu ambaye matendo yake yanalingana na maneno yake.
Mapenzi ya kweli yanajengwa juu ya heshima uaminifu na uthabiti si ahadi tupu.
Mtu sahihi anakuletea amani si mkanganyiko wa kila mara.
Kila Mtu anahitaji mema kwenye Taifa lake
Hii ya wanajeshi na polisi kuwa Road inaogopesha sana hatujazoea haya mambo.
Viongozi wajifunze ku compromise huwezi kupata vyote huwezi kupewa vyote tusikilizane turudi kuzungumza waliokosea waombe msamaha wa kweli.