TAIFA LIMEANZA KUPITA KWENYE NYAKATI NGUMU NA ZA GIZA …. BILA KUFANYA MAOMBI ILI TUTIWE NGUVU HATUTAVUKA HAPA TUKIWA SALAMA…
👉Tulionya sana juu ya awamu hii kuwa katili na ya hovyo wengi hawakusikia.
👉Nadhani sasa muda wa kuongea umekwisha. Muda wa kulalamika umekwisha
Nimetoka msibani, nimepata habari juu ya “shatka “ la @freemanmbowetz . Moyo wangu unauma mnooooo 💔💔😭😭😭😭.
Ila kama Mungu alivyotenda March , atatenda tu juu ya Tanzania.
Mh @freemanmbowetz sio gaidi. Ccm mnajua hivyo, dunia inajua hivyo na @SuluhuSamia unajua hivyo. Kumbambikiza kesi ya ugaidi haitaturudisha nyuma wala kutufanya tutishike. Tutasonga mbele katika kupigania demokrasia ya kweli na tutashinda.
CCM kwa Akili zao ndogo wanadhan suala la #KatibaMpyaMovement ni la CHADEMA ,Na wakimpa kesi za kubumba Mwenyekiti WA CHADEMA watakua wamezima suala la #KatibaMpyaMovement
Little do they know ni kamba wamemwaga petrol Kwenye moto
#AlutaContinua#FreemanMbowe is not a terrorist
Kwa hiyo tumemfunga MBOWE leo ili kesho mpate nafasi ya kuapishana na mabalozi wenu.. Haina shida endeleeni tu kesho mmepata platform ya KUZODOA WATU
Lakini katiba mpya ni jambo muhimu sana na liko pale pale.. Tutadai katiba sana tu kwa kuwa ni haki yetu
#KatibaMpyaMovement
#Mbowe has done more for #Tanzania than @SuluhuSamia will ever have. maybe Samia is envious of what Mbowe has accomplished as a politician that’s why she treats him as a terrorist. she knows she can’t reason w/ him. he’s unmatched by her political immaturity. #FreeMbowe, cowards!
Samia Suluhu’s Government has just charged Freeman Mbowe the leader of the opposition with TERRORISM, an offence for which he will not be given bail as a matter of law. Pressing the political nuclear button that even Magufuli rejected.
Tanzanian opposition party Chadema say its chairman Freeman Mbowe was arraigned in court today on charges of terrorism.
In a statement released earlier today they said Mr Mbowe was unwell and requires medical attention
#Tanzania's main opposition party is demanding answers after police arrested its leader.
On @AJEnglish's @AJInsideStory, we spoke with @TunduALissu, @aikande & @oryembley and asked what these detentions will mean for democratic reforms.
(Thx @kalvin_ng)
https://t.co/dA3E5ztKLX
Watanzania TUSOMENI vitabu.
Nimegundua wengi wetu tunahitaji UKOMBOZI WA FIKRA ili kuwa JASIRI.
WOGA ambao wengine wanauficha kwa jina la USTAARABU au STAHA ni dalili za UTUMWA.
Tuanze kujikomboa kwa KUSOMA.
Anza ata na vitabu vya huku ndani kama cha Mzee Mwinyi .
I feel the same way Aikande. It’s heartbreaking that we simply cannot get out of this cycle of violence because a few want to hold onto power and access to the resources which come with power.
US lawmakers express concern over Tanzanian arrests https://t.co/qJF6jvO3Ke via @BBCNews Well, new President Hassan may be 'Magufuli-Lite' but this is still Magufuli-of-the-Heavy-Hand.
Baba Mdogo wa @freemanmbowetz atazikwa jumatano Kanisa Bethel Nshara Machame.
Nitoe Rai kwa mnaomshikilia Mbowe mwachieni aje kumzika Baba yake Mbowe Siyo Gaidi Mbingu inajua ardhi inajua na ninyi mliopanga Hila za Kumshikilia mnajua. Mbowe ni mtu mnyenyekevu Sana chini ya jua