Top Tweets for #FreemanMbowe
๐ฅบ๐ฅบkabla #freemanmbowe ajalamba asali โ๏ธโ๏ธโ๏ธโ๏ธโ๏ธโ๏ธโ๏ธ๐๐๐pata Elimu ya #chadema
Wakikuonyesha maandamano kama haya katika uongozi wao mniue. #FreemanMbowe ndio kiongozi pekee jasiri aliyeweza kuandamana katika utawala huu wa CCM bila kuogopa na bado hwa pimbi wakaja kumdisgrace na kumzodoa eti aliandamana na bintiye. @AdamEzekiel12 @donminja47 @PamBelinda
๐ฉMaandamano Geita, Geita imeitikia wito wa #WikiYaMaandamano.
Msafara unaongozwa na Mkiti wa @ChademaTz Mh @freemanmbowetz
#VuguvuguLaKudaiHaki
DODOMA: Mwenyekiti Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (#CHADEMA), #FreemanMbowe amesema kitendo cha yeye kushiriki katika Uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ni kwasababu amealikwa na amefanya hivyo kwa kuwa ni Mzalendo, ni Haki yake kujua hatma ya Taifa inapangwaje.
Amesema hayo, leo Julai 17, 2025 baada ya uzinduzi huo na kuongeza, โLazima ukweli utamalaki katika Taifa, tuache Unafiki, Viongozi wa Kiserikali na Kisiasa wawe na utashi wa Kisiasa kurekebisha tulikotoka.โ
Soma zaidi https://t.co/GoC2BDnQPr
#JamiiForums #JamiiAfrica #Siasa #Democracy #Uchaguzi2025 #Demokrasia
DODOMA: Mwenyekiti Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (#CHADEMA), #FreemanMbowe akijibu swali aliloulizwa na Mwandishi wa Habari kuhusu msimamo wa โNo Reforms No Electionโ amesema yeye sio mzungumzaji wa chama na kupendekeza waulizwe viongozi
Amesema hayo mara baada ya kushiriki katika uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, leo Julai 17, 2025
Soma https://t.co/GoC2BDnQPr
#JamiiForums #JamiiAfrica #Siasa #Democracy #Kuelekea2025
DAR: Mwenyekiti wa zamani wa #CHADEMA, #FreemanMbowe ameeleza sababu ya kukaa kimya tangu Uchaguzi Mkuu wa chama hicho, Januari 22, 2025 ulipomalizika, akidai wanaotakiwa kuzungumza kwa sasa ni Viongozi waliokabidhiwa Mamlaka na chama
Mei 19, 2025, alipoulizwa na https://t.co/dDd21Ugmlv sababu ya kuwa kimya, alijibu โNiseme nini my brother!? Wasemao ni wenye mamlaka.... wasije wakadai tunawashwawashwa.โ
Ikumbukwe Mei 18, 2025, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Boniface Jacob โBoni Yaiโ, alitangaza hana mpango wa kuhama chama, akadaia anaamini baadhi ya Makada wa chama hicho wanaohama wakitumia jina la Mbowe hawajatumwa na Mwanasiasa huyo
Soma https://t.co/z9v0Onx3zb
#JamiiForums #Siasa #Kuelekea2025 #UchaguziMkuu2025

DAR: Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu #CHADEMA Bara, Benson Kigaila amesema baada ya Uchaguzi Mkuu wa Chama hicho, Mwenyekiti wao mpya Taifa, #TunduLissu aliendeleza mashambulizi dhidi ya Wanachama waliokuwa wakimuunga mkono #FreemanMbowe hali ambayo anadai iliwaonesha kuwa bado wapo katika kipindi cha Uchaguzi
Aidha, amesema baada ya uchaguzi huo, waliomuunga mkono Mbowe waliendelea kushambuliwa na wafuasi wa Lissu na kwamba suala hilo limeleta ubaguzi, huku akidai baadhi ya wafausi kadhaa ambao walimuunga mkono Mbowe wanavuliwa Uanachama
Soma https://t.co/A4OGBl7kzm
#JamiiForums #Siasa #Kuelekea2025 #UchaguziMkuu2025
@EduTalkTz Tatizo siyo hawa. Tatizo ni @freemanmbowetz. Hakuna kiongozi ambaye kama aliachia ngazi kwa kushindwa kwenye Kura na kukubali, anaweza kuleta magenge ndani ya chama kukivunja. #FreemanMbowe ndiyo TATIZO.
Kumekuwapo na Taarifa inayoonesha #FreemanMbowe aliandika kupitia Akaunti yake ya Mtandao wa X kuonesha nia ya kutaka kukata rufaa mara baada ya kushauriana na familia yake dhidi ya Matokeo ya uchaguzi wa CHADEMA yaliyomtangaza Tundu Lissu kuchukua nafasi yake.
Ufuatiliaji wa kimtandao uliofanywa na #JamiiCheck umebaini Taarifa hiyo Si ya Kweli kwani Mbowe hakuchapisha Taarifa yoyote yenye nia ya kutaka kukata rufaa katika ukurasa wa Mtandao wa X wala Mitandao mingine ya kijamii.
Aidha, Januari 22, 2024, ambayo ni tarehe inayoonekana katika chapisho hilo bandia, Mbowe aliandika ujumbe wa kukubali maamuzi yaliyofanywa katika uchaguzi wa mkutano mkuu wa #CHADEMA huku akimpongeza Tundu Lissu kwa kuaminiwa na wapiga kura wa chama hicho kuwa Mwenyekiti wao
Soma https://t.co/EbSGetRwny
#Misinformation #Disinformation #VisitJamiiCheck #MisDis04

DAR: Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, #FreemanMbowe, amesema Uchaguzi wa kuchagua Viongozi Wakuu wa Chama hicho umeacha majeraha mengi ndani mwao, hivyo Viongozi wapya wakakiponye Chama
Soma https://t.co/nIhfoUw37I
#JamiiForums #Demokrasia #Governance #UchaguziCHADEMA #Accountability
SIASA: Wakili #TunduLissu ametangazwa kuwa mshindi katika nafasi ya Uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa kwa kupata Kura 513 (51.5%) akifuatiwa na #FreemanMbowe aliyepata Kura 482 (48.3%) pamoja na Odero Odero aliyepata kura moja tu (0.01%)
John Heche ameshinda nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara kwa kupata Kura 577 dhidi ya Ezekia Wenje aliyepata Kura 372 na Mathayo Gekul aliyepata Kura 49
Nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar ameshinda Said Mzee Said kwa Kura 625 sawa na 89% ya Kura 706 huku halali zikiwa 700 na sita zimeharibika
Soma https://t.co/ulgOSUcGCz
#JamiiForums #Siasa #Democracy #Demokrasia
DAR: Wakati matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa #CHADEMA yakisubiriwa kutangazwa kwenye Ukumbi wa Mlimani City, baadhi ya Wanachama wameonekana wakifurahia muziki wakiongozwa na #TunduLissu ambaye alikuwa mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti akishindana na #FreemanMbowe na Odero Odero
Soma https://t.co/ulgOSUdes7
#JamiiForums #Siasa #Democracy #Demokrasia
CHADEMA inafanya uchaguzi mkuu wa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti, uchaguzi unaowakutanisha wagombea watatu wakuu: Tundu Lissu, Freeman Mbowe, na Odero Odero. Ripoti ya mwandishi wa VOA, Amri Ramadhani.
#uchaguzi #chadema #tundulissu #freemanmbowe #voa #voaswahili
CHADEMA inafanya uchaguzi mkuu wa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti, uchaguzi unaowakutanisha wagombea watatu wakuu: Tundu Lissu, Freeman Mbowe, na Odero Odero. Ripoti ya mwandishi wa VOA, Amri Ramadhani.
#uchaguzi #chadema #tundulissu #freemanmbowe #voa #voaswahili
DAR: Kupitia ukurasa wake wa X (Twitter), Mwanasiasa, #FreemanMbowe amempongeza na kumtakia heri #TunduLissu licha ya kuwa matokeo rasmi ya uchaguzi wa #CHADEMA hayajatangazwa
Mbowe ameandika โNimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama chetu.โ
Baada ya andiko hilo, John Heche akajibu โAsante sana Mwenyekiti, umetujenga na kutulea, umeonesha Demokrasia kwa kuongoza timu kusimamia uchaguzi wa wazi, huru na haki. Historia ya Tanzania itakukumbuka, kama mtu uliejenga Demokrasia na kuleta mageuzi makubwa kwenye Nchi na chama chetu.โ
Soma https://t.co/9VFIG0qy3H
#JamiiForums #Siasa #JFDemocracy #Demokrasia

CHADEMA inafanya uchaguzi mkuu wa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti, uchaguzi unaowakutanisha wagombea watatu wakuu: Tundu Lissu, Freeman Mbowe, na Odero Odero. Ripoti ya mwandishi wa VOA, Amri Ramadhani.
#uchaguzi #chadema #tundulissu #freemanmbowe #voa #voaswahili
CHADEMA inafanya uchaguzi mkuu wa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti, uchaguzi unaowakutanisha wagombea watatu wakuu: Tundu Lissu, Freeman Mbowe, na Odero Odero. Ripoti ya mwandishi wa VOA, Amri Ramadhani.
#uchaguzi #chadema #tundulissu #freemanmbowe #voa #voaswahili
Mapema leo Mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendeleo #FreemanMbowe alivyozungumza na wanachama wenzie katika mkutano wa baraza la chama hicho
Host @gosbert_njenga
#DriveShow #EastAfricaRadio
DAR: Ezekia Wenje, ambaye ni Mtia nia wa nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (#CHADEMA) - Bara amezungumza na Wanahabari, leo Januari 16, 2025, amesema kulikuwa na mpango wa kumpindua Mwenyekiti wa chama hicho #FreemanMbowe wakati akiwa gerezani
Soma https://t.co/E2XRD0lR4s
#JamiiForums #JFMatukio #Siasa #Democracy
SIASA: Aliyekuwa Mwenyekiti wa #CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amesema Mwenyekiti wa chama hicho, #FreemanMbowe aliwahi kumwambia kuwa amechoka na anahitaji kupata watu wa kumsaidia kazi hiyo
Soma https://t.co/NYOzUqsz3c
#JamiiForums #JFMatukio #Siasa #Democracy
SIASA: Mwenyekiti wa #CHADEMA, #FreemanMbowe akizungumzia madai ya tuhuma za Rushwa ndani ya chama hicho amesema kumekuwa kukitolewa tuhuma ambazo hazina uthibitisho
Amesema hayo wakati akihojiwa na Clouds FM kuhusu Uchaguzi wa Chama hicho
Soma https://t.co/BsPzuwz7PH
#JamiiForums #JFDemocracy
Last Seen Hashtags on Sotwe
minichat filter:videos
Seen from United States
ใฌใใงใจใฐใใ
Seen from United States
breastexpansion
Seen from Chile
NSFWPosts
Seen from Germany
vminkooknsfw
Seen from Italy
minichat() +filter:native_video
Seen from United States
domuz
Seen from Turkey
snapchat
Seen from India
ุนููุขู
Seen from United States
LiftAndCarry
Seen from Turkey
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.3M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.3M followers

Bill Gates 
@billgates
65.1M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers







