@Magomelo10@PastorJohnHagee Asante ww ambae siyo zuzu, nimeshakua ondoa hilo jina la Israel huenda akili yako itakua Huru kufikiri maana sasaiv umefungwa
@Magomelo10@PastorJohnHagee Paul amekua mtume baada ya Yesu kuja Duniani kwahiyo hapo anongelea ujio wa Yesu kwa mara ya pili ndg. Waovu watakua sehemu yao na wema watakua sehemu yao
@Magomelo10@PastorJohnHagee Na kuhusu Misri ngoja nikusaidie na hili ni alama ya maisha ya uovu na kwenda kwenye maisha mtakatifu kanani( Israel) ndg kwahiyo kwahiyo soma Biblia kwa ajili ya kuelewa na siyo kwa ajili ya kujua tu mataifa yaliopo kwenye Biblia ndg yangu. Be blessed
@Magomelo10@PastorJohnHagee Hapo ilipofika mwaka 34( Dan 8:14, Dan 9:24-27) ukisoma yote haya itakueleza utimilifu wa Israel kama taifa teule mbele za Mungu ndg na ndo maana sasaiv kila mmoja anaamini na kubatwa anafanywa kuwa mtoto wa Mungu hata usipokua Israel ndg yangu.
@Magomelo10@PastorJohnHagee Shida yako ni moja ww ni mpenzi wa nchi au sehemu kwenye Biblia ili hutaki kuelewa ujumbe uliopo kwenye Biblia ndg yangu maana hata nikuuliza Misri ina symbolise nn kwenye Biblia nahisi huna jibu kabisa ndg