@Mvungo47 Nimeona wapuuzi wengi kwenye comment wanasema huyo janja ni mjinga wangekuwa wao huyo mama angepigika๐๐, Kumbe Kuna vijana wengi wapuuzi yan
@StaffwaMtaa@FikraBabKubwa Kwa namna ipi wewe, Kwamba China akamvamia Italy halafu Marekani wamchekee Mchina?? Mpka nafkri utakuwa unaelewa nani mkubwa, Hapa hakuna Cha Multipolar,
@EliabuDanford Round hii hapatakuwa na ceasefire mpaka utawala wa Kislamu umedhoofishwa, ni Busara America akajiweka pembeni huu Mchezo atuachie Israel