Kama ni Uzalendo nitaendelea kuwahimiza Watanzania tukapige kura kesho kuwachagua viongozi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji. Yanga hii unaifungajeee? 🤣🤣🤣🤣🤣.
Napokea sms na Calls nyingi kwamba kwa nafasi yangu sitakiwi kuchagua upande(Simba na Yanga) kwa madai ya kuwagawa watu. Nadhani sio sahihi kabisa kwani hata viongozi wakubwa kama Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na viongozi wengine wameweka wazi wako upande gani?Niacheni jamani😀😀
Napokea Simu nyingi sana Kutoka kwa wazazi wengi wakitaka kujua kama kweli Ada za Sekondari ST. ANNE MARIE ACADEMY Ni 2.9M.Huo ndo ukweli na inalipwa kwa awamu nne yaani 530K, 814K, 814K&814K.Tumeamua kurudisha Fadhila kwa jamii.
Wasiliana nasi 0713483784
ST. ANNE MARIE ACADEMY
Pre Form one inaanza jumatatu 16/09/2024.Ada 250K Bweni na 150K Day.
Jiunge na Shule Bora Sana kwa Gharama nafuu sana
Tupigie 0713483784.
TANGAZO MUHIMU KWA WAZAZI WA WANAFUNZI WA SHULE ZA ST.ANNE MARIE ACADEMY
Shule zetu zinafunguliwa Rasmi jumapili 30/06/2024 saa 3 asubuhi kwa wanafunzi wote wa Nursery,Primary na sekondari kidato cha Kwanza hadi kidato cha sita.
Comrade Gradius Ndyetabula
Mkuu wa Shule.
Je unafahamu kwamba ST. ANNE MARIE ACADEMY Ni shule pekee iliyopata mafunzo ya MTAALA MPYA Moja kwa Moja kutoka TIE? Tuko tayari kutumia maarifa tuliyopata kuwafundisha wanafunzi Wa kidato cha tano hapo 30/6/2024.Tupigie sasa 0713483784.
Je unafahamu kwamba ST. ANNE MARIE ACADEMY Ni shule pekee inayofundisha Combination ya CBN Hapa Dar es salaam? Achana na habari za Kukariri combinations, soma masomo yatayokuwezesha kujiajiri, kuanzisha biashara ya kukuongezea kipato hata kama umeajiriwa. Tupigie0713483784
Natumiwa SMS nyingi sana na wazazi pamoja na wanafunzi wakitaka kujua kama ushauri wangu una kikomo. Napenda niweke wazi kwamba Ushauri wangu ni kwa watu wote wazazi wenye wanafunzi hapa na wasio nao, wanafunzi wanaosoma hapa na Wasiosoma hapa. Karibu sana ST. ANNE MARIE ACADEMY
Je umepangiwa combination usiyotaka? Je umepangiwa chuo badala ya form five? Je umepangiwa mikoani na ungependa kusoma Dar?Je hujapangiwa kabisa shule na ungependa kuendelea ba kidato cha tano?kwa haya na mengine mengi kutana na Gwiji Gradius Ndyetabula 0713483784
Ukiwa na akili sana usishangae kuchukiwa kazini, ukiona unashangiliwa sana hudhuria kliniki Milembe. Chukua hiyo utanishukuru Baadae. Comrade Gradius Ndyetabula.
Habari. Namba zangu zote zinapatikana WhatsApp tu kuanzia Leo 26/04/2024- 30/04/2024.Naomba radhi kwa usumbufu wowote. Usikose kuendelea kufuatilia kurasa zangu za Instagram, Facebook, X na Tiktok kwa jina la Gradius Ndyetabula
6.Kiswahili, French and Music (KFM)
7.Fasihi ya kiswahili, English language and Music (FaLM)
8.Kiswahili, Literature in English Language and Music (KLiM)
9.Kiswahili, English Language and Fine Art (KLFi)
10.Kiswahili, French and Fine Art (KFFi)
Tahasusi Za Sanaa
1.Kiswahili, English Language and Theatre Arts (KLT)
2.kiswahili,French and Theatre Arts (KFT)
3.Fasihi ya kiswahili, English Language and Theatres Arts (FaLT)
4.Kiswahili, Literature in English and Theatres Arts KLiT
5.Kiswahili, English Language and Music KLM
Tahasusi za Elimu ya Dini
1.Islamic Knowledge, History and Geography (IHG)
2.Divinity, History and Geography (DHG)
3.Islamic knowledge, History and Arabic (IHAr)
4.Divinity, History and English Language (DHL)
5.Islamic knowledge, History and English Language (IHL)