Karibu tukuhudumie yafuatayo
1. Usajili wa majina ya biashara (BRELA)
2. Usajili wa kampuni
3. Leseni za biashara
4. TIN number (TRA)
5. Vyeti vya kuzaliwa na vifo (RITA)
Kanuni tano za mafanikio...
1.MAWAZO,unawaza nini
2.MAAMUZI,unaamua nini baada ya kuwaza
3.UTEKELEZAJI,anza kufanya usiishie kuwaza na kupanga
4. DISCIPLINE, una nidhamu gani juu ya unachokifanya
5.SUBRA,vumilia kwanza maana huwezi kuwaza leo ukafanya leo na ukafanikiwa leo.
Karibu THE GRAND MARRIOTT ENTERPRISES
1. Usajili wa majina ya biashara
2. Usajili wa kampuni
3. Leseni za biashara
4. Vyeti vya kuzaliwa
5. TIN number TRA etc
Wasiliana nasi 0756624672
[email protected]
Karibu kwetu kwa mahitaji yafuatayo:
1. Kusajili majina ya biashara (Business names) BRELA
2. Kufungua kampuni
3. Mihuri kwa ajili ya maofisi
4. Vitabu vya risiti
5. Passport sizes
6. Tin number za TRA zikiwa kwenye fremu zake
Hapo unabao unasoma Barcelona 2-0 Chelsea, Ramires anapata chance na kuamua kufunga kwa style hii dhidi ya Barcelona bora kuwahi kutokea. What a joke?!