@GilbertPaul095 Hii post imenikumbusha pepsi yangu niliiweka kwenye fridge upande wa chini, saizi nimeihamishia juu kwenye barafu ili ipoe zaidi niinywee
@Adventure_36 Umenikumbusha mbali kaka, niliteseka sana mimi. Kuna muda nilifata daladala ya kugeuka nayo mpaka kule kwenye kituo cha Bandari - Kilwa road 🤣🤣🤣🤣 ila maisha 🙌🙌🙌