Barrick has injected over $4.24 billion into the Tanzanian economy since establishing the @TwigaMinerals joint venture with the government in 2019, contributing $888 million in 2024 alone.
At a media briefing here today, Barrick president and chief executive Mark Bristow said the Twiga partnership remained a leader in Tanzania’s extractive industry, creating thousands of jobs, supporting local businesses and funding critical community projects.
📰 Barrick’s Twiga Partnership Drives Sustainable Value Creation in Tanzania’s Economy
https://t.co/kI9d8fOD4a
🎉 Barrick Tanzania named top employer
A huge congrats to the entire Barrick team in Tanzania — comprised of our Bulyanhulu, Buzwagi and North Mara mines — for being recognized as a Top Employer by the prestigious Top Employer Institute for the second year in a row.
This accolade underscores the efforts invested in employee engagement, talent development and creating a safe and inclusive work atmosphere. One team, one mission.
*TANZANIA NA KOREA ZAJADILIANA NJIA BORA YA KUENDELEZA MADINI MKAKATI*
▪️Waziri Mavunde asisitiza ushirikiano kwenye utafiti wa madini na uongezaji wa thamani madink
▪️Korea yaonesha utayari kuwekeza nchini katika uendelezaji wa madini mkakati
▪️Serikali ya Tanzania kuandaa mkakati maalum ya uvunaji na uendelezaji wa Madini Mkakati
▪️Wawekezaji wa Viwanda vya kuongeza thamani madini wakaribishwa
📍Dar es Salaam
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ipo tayari kushirikiana na Jamhuri ya Korea katika kutekeleza mkakati wake wa kuendeleza madini mkakati na muhimu nchini.
Hayo yamesemwa leo tarehe 24 Januari, 2025 na Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde* alipokutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Korea nchini Tanzania, Mhe.Eunju Ahn katika Ofisi ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam.
"Mh.Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alitupa maelekezo mahsusi ya kuhakikisha rasilimali hii ya madini mkakati tunaiwekea mfumo thabiti ili Nchi yetu ipate manufaa zaidi.
Mkakati wa uvunaji madini ambao upo katika hatua za mwisho kukamilika umelenga kutimiza adhma hiyo ya Mhe. Rais wetu.
"Mojawapo ya nguzo mbili muhimu katika Mkakati huo ni kufanya utafiti wa kina ili kutambua aina na kiasi cha madini mkakati kilichopo, pamoja na kuweka mazingira rafiki ya ujenzi wa viwanda vya kuongeza thamani madini hayo hapa nchini.
Tanzania ni moja ya Nchi chache duniani ambazo zimebarikiwa na uwepo wa madini ya aina zote na kutoa wito kwa wawekezaji kutoka nchini Korea kuchangamkia fursa ya kuwekeza katika mnyororo wa thamani wa sekta ya madini nchini," amesema Mavunde
Awali, akieleza lengo la kuomba miadi hiyo, Mhe. Balozi Ahn alieleza lengo hasa ni kujitambulisha kutokana na mahusiano ya siku nyingi ya Korea na Tanzania, hususani katika sekta ya madini, na kusisitiza kwamba yupo tayari kuhakikisha mashirikiano hayo yanakuwa na tija kwa nchi zote mbili katika kuendeleza sekta ya madini hususan madini mkakati na kwakuwa tayari kampuni ya POSCO kutoka Korea imeonesha utayari wa kushiriki kwenye mradi wa madini kinywe wa Mahenge,Mkoani Morogoro.
Deluxe Vein: Channel sample across a 45 cm vein containing semi-massive galena and pyrite assayed 12.12 g/t Au and 2084.61 g/t Ag, as well as 3.39 g/t Au and 380.15 g/t Ag.
https://t.co/isDt2Zqjom
Today, the President of Uganda launches the Tembo Steels DRI Plant in Iganga a milestone for industrialization and mineral value addition. This aligns with UCEM's vision of fostering growth in Uganda's energy and minerals sectors through investment, job creation, and regional development. #UgandaEnergy #MineralValueAddition.
Utapeli ni mwingi sana katika biashara ya kuuza na kununua madini. Watu wengi wameuziwa madini feki kwa kutokua na uelewa wa madini hayo huku wengine wakiuziwa leseni katika maeneo ambayo hayana madini kabisa.
Kwa huduma za madini na ushauri wa BURE wasiliana nasi @Grayn
Grayn tunaendela kutoa huduma za jiolojia na mazingira kwa wawekezaji wa Tanzania, America , Canada na Australia. Wakati Simba anamnyemelea Raja Ca. weekend hii, tunakukaribisha upate huduma bora kutoka kwetu. Tembelea https://t.co/69wL9EgVfy kwa maelezo zaidi.
Can you spot the woman scientist? If you can't, you’re not the only one struggling. Female scientists struggle too on a daily basis.
On #WomenInScience Day, give a special shout-out to all women pursuing a career in sciences & girls dreaming of becoming scientists! Yes YOU can!
Utapeli ni mwingi sana katika biashara ya kuuza na kununua madini. Watu wengi wameuziwa madini feki kwa kutokua na uelewa wa madini hayo huku wengine wakiuziwa leseni katika maeneo ambayo hayana madini kabisa.
Kwa huduma za madini na ushauri wa BURE wasiliana nasi @Grayn
The Exploration Program at the $MTT Viking North Trend successfully identified multiple new exploration targets at both trends to ultimately define drill targets!
These new targets continue to highlight gold discovery potential & add to the 30+km of gold trends on the Project!