@TanzaniaLeaks ugumu wa maisha tu,hao Huwa wanapewa 5k ukipanda na ni kawaida ya ccm kutoa posho kwa watu wanoakubali kwende kwenye mikutano Yao
Huwa wanatumia gharama sana kujaza mikutano yao
@jobGulam@DullahTheking2 Kwako Alikiba ndio Bora kuliko Mond ila kiujmla SIMBA yuko juu kuliko msanii yoyote Tz,namba hazidanganyi
Alafu siku izi Simba anashindwanisha na kivuli chake Tu hao wengine n kupoteza muda
@Adventure_36 Akiwa kama kijana baada ya kushauri serikali ni vipi itapunguza tatizo la ajira kwa vijana,suluhisho la tatizo kama la umeme,sukari...ila kijana mwenzetu yeye ndio Kawa tatizo
@automatiki @DullahTheking2 Chibu alikua anaendea ila ushindan wa ndan umemrudisha nyuma,baada ya kuwaza mbele amerudi kushinda na Alikiba na mtoto wake alye mlea mwny Harmonize
@IAMartin_ Kuwa mvumilivu kidogo tupo kwenye harambee ya wizara ya michezo, tukimalizana nayo itafwata harambee wizara ya Elimu alafu wizara ya kilimo na nyingine zote zitafwata kwa zamu
@KingNgwaba@eastafricatv Hao matajiri na wanasiasa na pesa zao cio kitu, hakuna kazi ngumu kama kuwashawishi hao vijana kujiunga na makundi ya kigaidi na kufanya ugaidi, huyo kiongozi wa kundi la kigaidi ni mtu muhimu sana Ndy maana akiuwawa inakua ushnd mkubwa sana kwa majesh husika wa nchi na Marekani