@ExMayorUbungo Jana baada ya bao nne alijutia mdomo wake ulopelekea yote haya kutokea. Namheshimu sana Coach Ibrnge, Anayeamin kuwa Simba hata akifumgwa na Yanga ukikutana naye lupaso CHUKUA TAHADHAR XOTE
@MariaSTsehai Dada Maria Sarungi! Binadamu ni kiumbe mgumu sana kumuelewa. Leo hii SHOST WAKO FATMA KARUME, Amekua si mtetezi tu wa kizimkaz gang na serikali yake! Juzi Bashe kayatimba yeye ANAMTETEA! UANAHARAKQT WA FATMA KARUME ULIKUA NI DHID YA MWENDAZAKE
@NamdiAzikiwe@ccm_tanzania Wakati wa mabunge yanayowajibika kama;
Bunge la Spika Pius Msekwa,
Bunge la Spika Samwel Sitta,
Bunge la Spika Anna Makinda.
Wasingaliacha hili lipite kama upepo wa kusi!
Wangeunda kamati teule ya BUNGE Kuchunguza tuhuma hizi nzito.