Kuna Sehemu Unaenda Mpaka Unaogopa Kuulizia Beii Unarudi Na Ka Hela Kako Mfukoni,Lakini Ukienda Gulioni Unapata Vitu Kwa Beii Nzuri Kama Usipokuwa Makini Unaweza Kujikuta Umetumia Mpaka Nauli, Pata Punguzo Ya Bei Kwa Kila Bidhaa Utayonunua
#Gulionisanta
Wakati mujarabu kupita kwenye website yetu msimu huu wa sikukuu kwa kila utakacho agiza kuna Offer mbalimbali #Gulioni#GulioniSanta
Uhuru kiganjani mwako....
Wana-Gulioni wanaungana na Watanzania katika kuomboleza kifo cha Rais wa Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Benjamin William Mkapa. Kwa pamoja tunawaombea familia ya marehemu, washirika wake na Watanzania kwa ujumla wapate faraja wakati wa msiba huu mkubwa! #RIPMkapa