Tangazo
Wapendwa wetu Wana #TOTBonanza kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu hatutakuwa na Bonanza la mwisho wa mwaka.
Tunajipanga kwa ajili ya mwaka 2024 asanteni kwa ushirikiano wenu.
Jana nilichekewa Kidogo kwenda #TOTBONANZA,
Pamoja na hilo Nilifanikiwa kuchukua baadhi ya matukio na Watu. @TOTBonanza
S02EP03 - TOTBONANZA (Daresalaam)
Press Play & Enjoy 👇🏾