Btw, me Corporate photographer na bado sijapata clients Toka Twitter but I wish one day nifanye kazi na tweep
Ili awe ni reference Kwa yeyote
Lakini nimefanya kazi
Crdb marathon,
Flavianamatata Foundation, hapa nilikuata na bro @arafat_bakir
@iboysean Watu huanza kusoma vitabu kwa kuuliza kipi kizuri cha kuanza nacho, unfortunately inakuwa Atomic habits kwa sababu ni kizuri pia price yake ya kawaida