Many people hide their true identity. What we usually see is how they want others to perceive them, but if you pay close attention, you can discover who they really are.
@BahatiMlwafu@emmyvally@WideEdson Unazani kwann simba walimuuza aouha na alikua na namba kubwa na alipaswa kuwa mvp huu msimu?? Team kama yanga hawa sajili watu kuja kuifunga kmc au coast wanatak impact yako game za caf na gemu ngumu ni swala la muda watu kumkataa huyo okello maan tough game zote hajafanya kitu
@BahatiMlwafu@WideEdson Kaifunga yanga zaidi ya mara moja juzi kamfunga mapinduzi shida ya okello tough game hana impact fatilia ata performance za derby na caf kule nafu uje umlinganishe mechi ambazo ata buba akiaminiwa anafunga
@Danny45405967 Jamaa anapenda engengement kuna siku alihojiwa na yule mbongo anaye wahoji masta USA akakataa kupiga picha na mtoto wa will smith akisema ana followers wengi kumzidi sishangai njia aliyochagua , na namna watu wana comment anafurahi sana.
@urio_david334@flahisha Mungu kaumba majini na wanadamu so hao ni viumbe wake kuitwa majina ya kiislamu ni ushahidi wa kuwa mungu anaitambua dini ya kiislamu
@AdelaAudre31439 Kiukweli kama nchii au watu hatuwezi endelea kama tutakubali kuwa watu ambao hatuzalishi(kutokuwa na viwanda nchini) na kutegemea bidhaa dubai na china
Kama una weza kuwa na 10 million badala ya kwenda dubai kwenda kufunga mzigo unaweza tumia same amount kwenda japan au china kujifunza uzalishaji ambao utakusaidia kufungua kiwanda na usiende kufunga mzigo dubai tena ukazalisha mwenyewe Tanzania