Uwa nafanyaga matembezi ya hapa na pale nakutana sana na old houses hazijaisha, ila u can see the vision mtu alikua nayo.
Sijui uwa wanakufa kabla, au wanaugua, au wanashuka kiuchumi.
Kwakweli ya Mungu mengi ila tuombe karama ya kutimiza mipango na maono yetu 🙏🏼
Usikae mahali ambapo thamani yako haionekani kwa sababu tu ya historia mliyojenga. Miaka mingi pamoja si sababu ya kuvumilia dharau, usaliti na maumivu. Jitambue, jipende, na chagua amani yako. 💔
Wapambanaji wameomba na tips za kuzuia video za facebook kujiplay,Lengo ni kuokoa bando tips ni hizi hapa.
1.Fungua appy yako ya Facebook .
2.Bonyeza ile Menu icon ile yenye vitufe hivi ☰, mara nyingi inakuwa chini-kulia kwa watumiaji wa iOS au juu-kulia kwa wanangu wa Android.
3.Shuka mpaka chini na bonyeza Settings & Privacy > Settings.
4.Bonyeza Preferences (au shuka chini kutafuta Media).
5.Bonyeza Media.
6.Chini kuna Autoplay (au Autoplay in Feed and Stories), chagua (select) kamwe (Never Autoplay Videos)
Hapo utaokoa bando lako mpambanaji😁🫵
Kama Una pesa isiyo ya mawazo;
1. Fungua shule
2. Uza internet
3. Logistics
Kama Una pesa ya mawazo;
1. Fungua Kampuni ya kuuza maji
2. Uza chakula
3. Uza mazao kwa serikali
Mtaalamu, nipe mawazo 3 ya nguvu tunayoweza fanyia kazi hapa Bongo tukatoboa
Ukihisi umekata tamaa tafuta nyimbo ya Paul Clement - Mwokozi.
Kuna verse kaimba hivi
"Najua una nguvu waweza nibeba,Mwanadamu atachoka ataniangusha"
"Mwanadamu hugeuka wakati wowote,Ila kwako uhakika huwezi nitupa"
Powerfull Message🙌
Kuna kitu kinaitwa Attachment Anxiety.
Ukiona hajajibu message — una panic.
Ukiona yuko online — una overthink.
Ukiona yuko kimya — unaumia.
Hayo yote sio kwasababu unampenda sana .
Ni unaogopa kuachwa tu .
Kuna Mwanasaikolojia anasema ukiona unapenda kusema "Chochote" basi ujue wewe una shida.
Mfano
Unakunywa soda gani "yoyote"
Chakula gani unakula "chochote "
Unatumia usafiri gani "wowote"
Nikupe bei gani "yoyote "
We ujue una shida kubwa sana na unahitaji msaada