@masoudkipanya Pundamilia habadlik rang hata iweje,alvo ingia ndan rang yake ya asili inapotea na hatujui nan anamwongoza,mbele mana uktoka rang unakua new tofaut natunokufaham,nazan mmenelewa
Alisema akili huona mambo jinsi yalivyo,huku mawazo huona mambo namna yanavyopaswa kua,
Vijana tunzeni MASEGA tukijaaliwa umri na MUNGU sisi ndo mababu wa kesho.