Beaco Resort Mbeya kwa huduma bora na za kisasa ufikapo jijini Mbeya jibu ni Beaco Resort tunapatikana Forest Mpya shuka kituo cha daladala cha Kadege utakuwa umetufikia.
#hudumabora#Malazibora#beacoresort
@Liberatus80 Jiandaeni kwa uchaguzi sii kulalama lalama tu, ww unashinda Marekani hata kujipanga namna ya kuwasaidia wagombea wenu kujaza fomu kwa ufanisi na kufuata sheria mnakimbia kulialia tu na kuandika watu tu bila hata ushahidi. Rudi Mbarali, acha siasa za whatsap Mtoto hatumwi Dukani
@Liberatus80 Leo unadanganya watu eti Bahati ameshindwa kutetea Ardhi ya wanambarali??? Walai utapigwa mawe na wanambarali wewe.. watu wameamka sana na wanafahamu mbivu na mbichi.
@Liberatus80 Kama hapo tu umeshindwa kusimamaisha wagombea kwa ngazi zote utajiita eti wewe ni threat kwenye siasa za mbarali. Rafiki yangu unachekesha sanaaa na unadanganywa sana. Simamisha shuhuli za uyaya huko marekani uje ushuhudie binti anavyo piga kazi hapo mbarali.
@Liberatus80 Kumuandama Mbunge , Mwenyekiti wa Halmashauri na Makamu Mwenyekiti mm binafsi unawajenga sanaaa umekazana na igurusi, I/songwe na Itamboleo kwa sababu wapo watu wa kuwasema? Hapo chimala hali ikoje?
@Liberatus80 Ni dhahili hamkujipanga kufanya uchaguzi na ndo maana mlicho kuwa mnafanya mbarali ni kuvizia watu walio kosa kura za maoni ndani ya ccm ndo mnawaomba wawe wagombea wenu. Niaambie kati ya vijiji 102 mmesimamisha vijiji vingapi? Kati ya vitongoji 712 mmesimamisha vingapi?
@Liberatus80 Kupambana na mbunge aliyepo kwa sasa huna chembe hata ya ubavu. Wananchi wa mbarali sio watu utawaminisha uongo wakakuelewa wanafahamu namna mbunge wao anavyo pambana na kuwatumikia wanambarali. Hivyo kama unadhani bado wanambarali wapo zama zilizo pita hapo umechemka.
@Liberatus80 Barua ya wazi kwa Liberatus Mwangβombe
wapambe wako waliopo mbarali wanakupa matumaini makubwa sana kwamba upo vizuri kitu ambacho nakushauri acha kufanya siasa za simu ukiwa marekani rudi nchini fanya tathmini ya kutosha kuhusu jimbo la mbarali.
tarehe 27/02/2024 walimu na wanafunzi wa Shule ya msingi Kambarage wamepokea Madawati 50 ikiwa ni mpango wa mapato ya Ndani ya kutengeneza Madawati 6,200 kabla ya mwezi 04. 2024 kupitia Halmashauri ya Jiji la Mbeya
Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Dk. Tulia Ackson, jana Januari 23, 2024 amemkabidhi nyumba ya kuishi, Mzee Aswile Mwakigege mwenyeji wa Mtaa wa Nonde Jijini Mbeya aliyomjengea mara baada ya nyumba aliyokuwa akiishi mwanzo kubomoka na kupelekea kukosa makazi ya kuishi